Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

Hizi sio zama za kinjekitile ngwale acha upuuzi mwache mama afanye kazi
 
Kweli kabisa, labda walishiriki kumuua JPM, maana alikuwa anataka maendeleo ya wanyonge. Tanzania hata ukijamba utasifiwa! Huyu huyu alituambia JPM mzima kumbe kisha kufa na kupelekwa kwa Mzena hoespital. Na alipokufa maiti yake ikatembezwa kila mahali kutuonyesha kweli amekufa. Lini maiti ikachezewa hivi eti kuagwa, stupidity at the highest level.
 
Umenena kweli jambo suluhisho lako halina mashiko. Ni hivi Uchaguzi ni protokali tu mshindi anajulikana na akishajulikana Regime itaendeswa na mfumo na si vinginevyo.

Magufuli akitaka kufanikiwa kuchochora njia yake nje ya kuendeshwa na mfumo na ndipo alipojitengenezea maadui wa kushiba.

Bahati mbaya hata kama upinzani utaingia nchi hii cku Moja watajikuta wakiusujudia mfumo badala ya mfumo kuwasujudia wao.
 
Hutaki rudi kwenu koromitje
 
Mama anaupiga mwingi.

Na kuwakomesha MATAGA na SUKUMA GANG..!

Naona anarejea kwa Mstari. Akaze Please. [emoji58][emoji58][emoji16]
 
Dah! Kweli Muda ni Mwalimu toshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Akili yako ni sawa na ya kuku, nenda hone daktari haraka sana.
 
Tumemuacha kabisa aupuge mwingi na mwenyewe anasema Rais huwa hakosei.
Una akili ya fisi,, mama mama, amekunufaisha vipi wewe. Huyu Huyu alituambia Magufuli mzima kumbe kisha kufa. Wengine hatuna hay.
 
Ukweli mchungu huu!
System...Mfumo!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Mzee utangojea sana hizi ni zama za kiongozi anayesikiliza wataalamu sio zama zile za stone age ambapo wataalamu waliitwa kushauriwa na sio kushauri, tunaiona +255 inayotembea na dunia kusonga mbele.
Nahitaji mchango wako sasa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…