Kitanuka tu, time will tell.✍️📌Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho.
Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa
Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja.
Mashahidi upande wa walalamikaji wamemaliza Kutoa ushahidi usiokuwa na Shaka pia upande wa utetezi wamemaliza kuwasilisha utetezi wao.
Kwa kuwa invisible court pia ni open court kwa wachache wenye jicho la tatu pekee mshakiwa hatoboi.
Binafsi nimesikitika sana kwa kuwa mashtakiwa ni rafiki yangu wa Karibu sana.
Hahaha hio kesi ni tofauti na hioMashahidi wa gizani waliotoa ushahidi usio na shaka ndio kama yule bodaboda P2 aliyesema alikuwa kijiweni akahamasika na kauli ya kukinukisha ??
Hujiulizi kwanini waliamua mashahidi wawe wa gizani??
Watu mna mizaha sana na kodi za watanganyika.
Hakuna cha third eye hapa kwa ufupi kesi ya Lissu imetufungua macho sana namna mahakama na mawakili na majaji wa Tanzania walivyo .Hahaha hio kesi ni tofauti na hio
Ni kwa wale wenye third eye pekee
je Umepata wasaa wa kupitia kesi hioWajaribu basi tuone.
Kuna kesi kubwa zaidi ya hio ya LissuHakuna cha third eye hapa kwa ufupi kesi ya Lissu imetufungua macho sana namna mahakama na mawakili na majaji wa Tanzania walivyo .
Nilichokiona kule ICSID 2023 nilidhani ilitokea bahati mbaya kumbe ndio kawaida yao.
Wakifika mahali standards zinasimamiwa tunajua kinachofuata.
Hiyo kesi unayozungumzia ni ya nani hasa unaposema pia ni rafiki yako na umeileta jukwaani hapa ??Kuna kesi kubwa zaidi ya hio ya Lissu
Hapa ya Lissu haiko invisible court Mkuu
Mimi naona hatuelewani na hatutoelewana.Mzee wa Matrix tena
Nchi hii Ina Kesi Kubwa mbiliMimi naona hatuelewani na hatutoelewana.
Naishia hapa.
karatasi nyiingi, mnamaliza miti tu
je Umepata wasaa wa kupitia kesi hio
Ni kwa wale wenye third eye pekee
Labda uwaulize Robert Heriel Mtibeli
Pascal Mayalla
hivi hizi anonymity ndiyo zinawapa jeuri, mnaona kila mtu kwenu size😄britanicca hawa Vijana wetu wanataka kuambiwa kila kitu
Hawataki kujishughulisha