GE2025 Tutarajie kuimbishwa wimbo gani baada ya Uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Abuu Ibraahiym Sibomana

Senior Member
Joined
Jun 1, 2025
Posts
130
Reaction score
143
Mwanzo ilikuwa M4C.

Halafu ikawa people's power!

Mara ikaja hii ya

No reforms no election!.

Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire!

Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya!

Kwasasa chama hakina people's power kwasababu people wamegawanyika na kukimbiana wengine wamekimbilia Chauma ,wengine ACT wazalendo huku wengine wakirudi nyumbani CCM.

Kwahiyo chama hakina people's power kama ilivyokuwa 2015 na 2020.
Watu wamekimbiana, lakini pia No reforms no election inaexpire baada ya uchaguzi.
Sasa je tutarajie kuimbishwa wimbo gani mpya baada ya uchaguzi?!
 
Wewe Baki na chaumma wako uendelee kula ubwabwa mambo ya Chadema achana nayo HUYAWEZI...!!

Mmepambana sana kuua Chadema lakini mmeshindwa...

Vipi lakini project G55 mnaendeleaje huko ? Pathetic!!!!
 
Nilipoona jina la Kiarabu tu nikajua ulichokiandika humu ni sawa na kilichoandikwa kwenye kitabu cha Mudi kuhusu JUA KUZAMA KWENYE MATOPE, akili yako na mme wa Aisha ni sawa
 
Kesho tar 29 mwezi wa 10 ndo mwisho wa harakati zote. Tunaenda kutiki kwa kishindo kwa Dr Samia Suluhu Hassan
 
Mwanzo ilikuwa M4C.

Halafu ikawa people's power!

Mara ikaja hii ya

No reforms no election!.

Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire!

Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya!

Kwasasa chama hakina people's power kwasababu people wamegawanyika na kukimbiana wengine wamekimbilia Chauma ,wengine ACT wazalendo huku wengine wakirudi nyumbani CCM.

Kwahiyo chama hakina people's power kama ilivyokuwa 2015 na 2020.
Watu wamekimbiana, lakini pia No reforms no election inaexpire baada ya uchaguzi.
Sasa je tutarajie kuimbishwa wimbo gani mpya baada ya uchaguzi?!
Wimbo wa Mteule by Jose Gwajimmy kkk.
 
Nilipoona jina la Kiarabu tu nikajua ulichokiandika humu ni sawa na kilichoandikwa kwenye kitabu cha Mudi kuhusu JUA KUZAMA KWENYE MATOPE, akili yako na mme wa Aisha ni sawa
Kufanya attacking kwa Imani ya mtu sio siasa ni ujinga wa Hali ya juu sana

ACHA hasira nyingi bwana mdogo meza dawa kwa wakati kuepuka madhara zaidi
 
Back
Top Bottom