Abuu Ibraahiym Sibomana
Senior Member
- Jun 1, 2025
- 130
- 143
Wewe Baki na chaumma wako uendelee kula ubwabwa mambo ya Chadema achana nayo HUYAWEZI...!!Mwanzo ilikuwa M4C.
Halafu ikawa people's power!
Mara ikaja hii ya
No reforms no election!.
Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire!
Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya!
Kwasasa chama hakina people's power kwasababu people wamegawanyika na kukimbiana wengine wamekimbilia Chauma ,wengine ACT wazalendo huku wengine wakirudi nyumbani CCM.
Kwahiyo chama hakina people's power kama ilivyokuwa 2015 na 2020.
Watu wamekimbiana, lakini pia No reforms no election inaexpire baada ya uchaguzi.
Sasa je tutarajie kuimbishwa wimbo gani mpya baada ya uchaguzi?!
Huyu form 4 alikula zero huo u dr kaupatia wapi?!.Kesho tar 29 mwezi wa 10 ndo mwisho wa harakati zote. Tunaenda kutiki kwa kishindo kwa Dr Samia Suluhu Hassan
Wimbo wa Mteule by Jose Gwajimmy kkk.Mwanzo ilikuwa M4C.
Halafu ikawa people's power!
Mara ikaja hii ya
No reforms no election!.
Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire!
Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya!
Kwasasa chama hakina people's power kwasababu people wamegawanyika na kukimbiana wengine wamekimbilia Chauma ,wengine ACT wazalendo huku wengine wakirudi nyumbani CCM.
Kwahiyo chama hakina people's power kama ilivyokuwa 2015 na 2020.
Watu wamekimbiana, lakini pia No reforms no election inaexpire baada ya uchaguzi.
Sasa je tutarajie kuimbishwa wimbo gani mpya baada ya uchaguzi?!
Kufanya attacking kwa Imani ya mtu sio siasa ni ujinga wa Hali ya juu sanaNilipoona jina la Kiarabu tu nikajua ulichokiandika humu ni sawa na kilichoandikwa kwenye kitabu cha Mudi kuhusu JUA KUZAMA KWENYE MATOPE, akili yako na mme wa Aisha ni sawa

Nipo njiani naelekea kwenye kituo Cha kupigia kuraHuyu form 4 alikula zero huo u dr kaupatia wapi?!.