Tutarajie machafuko Kenya Kama Raila hatoshiriki uchaguzi.

Hehehe... Hauelewi chochote.... Keti na ujienjoy.... Kenya is maturing by the day
 
Kama tume imeshaelekezwa ilipokosea basi inatakiwa iondoe makosa hayo, wamepaswa watumike kurekebisha makosa, sio kufurushwa!
Utumishi wa umma una falsafa ya "kujisahihisha kimfumo" sio kutimuana timuana.

Raila atakuwa mkosaji, muhaini na muuaji!
 
Je mahakaman iliamuru hivyo wanavyotaka NASA? Odinga anachokifanya haiumizi Familia yake Bali anawaumiza wakenya ninachokiona Odinga anataka serikali ya kitaifa yenye kumuingiza yeye ndani ya system
 
Itakuwa kama Zanzibar tu jinsi alivyojitoa Maalim Seif wa CUF vyama vingine vikaingia katika uchaguzi na Shein wa CCM akashinda kwa kishindo cha zaidi ya asilimia 90.

Nadhani hakutakuwa na fujo ya scale kubwa Kenya baada ya uchaguzi maana serikali ya Uhuru ikishashinda kwa kishindo itatumia vyombo vya dola kudhibiti hali ya machafuko yeyote kwakuwa wana mfano mzuri wa 2008 na kama raisi amba ni amiri jeshi mkuu asingependa doa lile lijirudie.

Vilevile JUBILEE watatembea kifua mbele baada ya uchaguzi kuwa wameshinda mara mbili katika chaguzi zote,yaani wa awali na wa marudio.

SIASA ZA AFRIKA HAZIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama tume imeshaelekezwa ilipokosea basi inatakiwa iondoe makosa hayo, wamepaswa watumike kurekebisha makosa, sio kufurushwa!
Utumishi wa umma una falsafa ya "kujisahihisha kimfumo" sio kutimuana timuana.

Raila atakuwa mkosaji, muhaini na muuaji!
by the way mahakama haikusema Tume ivunjwe
Mahakama ilisema tofauti zirekebishwe
sasa mtu anapokuja na madai yake yeye eti tume ifutwe...This guy is insane
Kumbukeni hii tume ni ya pili baada ya ile ya kwanza kuvunjwa..pia kwa sababu ya madai yake kuwa hana imani nayo.
sasa yeye anataka tume ambayo inaongozwa na NASA?
 
Lakini Madai ya Raila ni ya msingi, kwa nini yasitatuliwe ili amani iwepo?
Waliovuruga zaidi ni wabunge wa JUBILEE kuifanyia mabadiliko sheria ya Uchaguzi ambapo itaanza kufanya kazi Uchaguzi was tarehe 26 oktoba (Kenyatta amesema ataipitisha akiletewa kwa ajili ya sahihi).
***Jubilee hawana nia na uchaguzi was haki name huru. Siasa si ugomvi
 
Who is Raila aridhishwe kila kitu!? Wewe alitaka uchaguzi wa Marudio au alitaka tume mpya? Mbona hakulidai hilo kortini?
Yes na ilo ndo walisahau kuwepo katika madai yao ya msingi mahakamani wao wakabeba la kura tu,afu wanakuja hapa na maswali kwamba Raila ako na wafuasi Kenya nzima,hii itakuwa ajabu na wagombea wametia 8 mpaka asubuhi hii yy muache apige mayowe
 
Watu hamjui kitu alafu mnapiga kelele, makes me puke.
Huyo mgombea nae amekataa, anataka demands za Raila zitimizwe. Reform of iebc.
Kumbe tunajadiliana na watu usiokuwa na habari kamili endeleeni kufanya upuuzi wa kuandama mpaka mchoke
 
Angepeleka ombi hilo mahakamani inge make sense.
Kwa sasa Raila anafanya fujo.
 
Raila hata ma Principal wenzie wawe ma commisioner wa IEBC na akashindwa bado atasema tume imeingiliwa...Jubilee walisema Nasa hawapo tayari kwa uchaguzi tangu wowote ule tangia August na hii hii imeonekana kua ni kweli...
Kwanza kuonyesha hawakua na nia mbaya warejeshe pesa za watu waliowachangia.
pili mahakama hio hio iliompa Raila ushindi wa kufuta uchaguzi ndio hio hio inasema IEBC hawana hatia mbali hawakufuta taratibu kisheria.
Haiwezekani mtu mmoja awe yeye ndio wa kusema nini kifanyike muda wote.
Ifike mahala Raila akumbali yaishe
 

Tuache ubinafsi na uroho wa madaraka .... sipendagi aina hii ya watu kabisa .... yeye anatakiwa ajitathmini maana ukiwa tayari kuangamiza watu kwa tamaa zako mwenyewe ni mbaya sana ... Mungu ampe Hekima kama linazo mwenzio maana Kenyetta pamoja kwamba yupo kashikilia madaraka alikubali uchaguzi urudiwe .. ila sasa ni mwoga huyu Raial

Anaogopa kwa vile sasa hivi wabunge magavana na nafasi nyingi zipo Jubilee sasa wote wanafanya kampeni ya kumsaidia kiongozi wao wa chama atapita wapiiiii ... Apishe watu watafute maisha sio kukalia kampeni kila siku , wakenya wenyewe wamechoka sasa wamekali kutafuta tu mbinu za kumchafua Kenyata mara hili mara lile ....wanawasumbua watu wakose utulive
 
Ole ole ole wao watakaoleta vurugu siku hiyo,, cha moto watakiona! Hauwezekani wewe ujitoe halafu ulete vurugu, Rais hataruhusu kitu hiyo itokee!! Wenzake wanapiga kampe yeye anahamasisha maandamano!!
 
Utakufa bure ukifikiria juu ya Kenya yet when you wake up every morning, the country ahead of you is always Kenya......... . Better a failed state it will wake up some day just like Somalia is surpassing you now than A banana Republic like yours
Hahahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…