Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tume imeshaelekezwa ilipokosea basi inatakiwa iondoe makosa hayo, wamepaswa watumike kurekebisha makosa, sio kufurushwa!Wandugu,
Hii taarifa ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio Kenya unaotarajiwa kufanyika October 26 si habari njema kwa wakenya.
Ikumbukwe kuwa Rails na wenzake was NASA hawawezi kususia uchaguzi wa marudio bila kuwa na mbinu mbadala wa suala hili, na hali inajionyesha dhahiri kwamba wapo tayari kuwaamrisha wafuasi wao hata kufanya vurugu ili nchi isitawalike.
Natabiri vurugu zinaweza kuwa kubwa zaidi ya ilivyotokea mwaka 2007.
Raila si wa kupuuzwa hata kidogo na madai yake ya kutaka mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi ni ya msingi kabisa. Jambo la ajabu sana hapa kwa nini hii tume iliyovuruga uchaguzi wa kwanza iendelee kung'ang'ania kuendesha uchaguzi wa marudio. Na ajabu zaidi tume hii inaungwa mkono kwa asilimia Mia moja na chama tawala cha Jubilee chini ya Uhuru Kenyatta. Kwa vyovyote vile NASA chini ya Odinga wapo sahihi kabisa kususia marudio ya huu uchaguzi vinginevyo watajitumbukiza kwenye mtego na watashindwa kujitegua.
Suluhisho pekee la kunusuru hali hii ya machafuko ambayo tunaitarajia kutokea ni kwa hii tume inayijiita isiyo na mipaka kujiuzulu, vinginevyo machafuko hayaepukiki. Halahala Wakenya, mti na macho.
Je mahakaman iliamuru hivyo wanavyotaka NASA? Odinga anachokifanya haiumizi Familia yake Bali anawaumiza wakenya ninachokiona Odinga anataka serikali ya kitaifa yenye kumuingiza yeye ndani ya systemHaingii akilini kwa aliyeshinda uchaguzi kihalali kuzunguka tena nchi nzima akifanya kampeni, kitu gani kilichobadilika baada ya matokeo kufutwa au ahadi gani alisahau kuitoa kwenye kampeni zilizopita?
Kampeni ya Jubilee ni kutaka kuihadaa dunia kwamba wakati wanafanya kampeni NASA walikua kwa press conferences.but the fact is they are sure the system that assisted them to win is still in place. So if the IEBC systems remain the same still Jubilee will win the repeat election.
Kama wanataka credible election waifanyie mabadiliko IEBC kwanza na ndiyo NASA wanachotaka.
All confilicts are ended up with dialogue, they should not wait for people to die ndiyo wakuje mezani kuzungumza. They get it wrong if they underestimate the power of Raila.
Who is Raila aridhishwe kila kitu!? Yeye alitaka uchaguzi wa Marudio au alitaka tume mpya? Mbona hakulidai hilo kortini?Lakini Madai ya Raila ni ya msingi, kwa nini yasitatuliwe ili amani iwepo?
Itakuwa kama Zanzibar tu jinsi alivyojitoa Maalim Seif wa CUF vyama vingine vikaingia katika uchaguzi na Shein wa CCM akashinda kwa kishindo cha zaidi ya asilimia 90.Haingii akilini kwa aliyeshinda uchaguzi kihalali kuzunguka tena nchi nzima akifanya kampeni, kitu gani kilichobadilika baada ya matokeo kufutwa au ahadi gani alisahau kuitoa kwenye kampeni zilizopita?
Kampeni ya Jubilee ni kutaka kuihadaa dunia kwamba wakati wanafanya kampeni NASA walikua kwa press conferences.but the fact is they are sure the system that assisted them to win is still in place. So if the IEBC systems remain the same still Jubilee will win the repeat election.
Kama wanataka credible election waifanyie mabadiliko IEBC kwanza na ndiyo NASA wanachotaka.
All confilicts are ended up with dialogue, they should not wait for people to die ndiyo wakuje mezani kuzungumza. They get it wrong if they underestimate the power of Raila.
akaikatalie mahakama.akakate rufaa mahakamani ili asijumuishweHujui kwamba huyo mgombe amekataa kujumuishwa.
by the way mahakama haikusema Tume ivunjweKama tume imeshaelekezwa ilipokosea basi inatakiwa iondoe makosa hayo, wamepaswa watumike kurekebisha makosa, sio kufurushwa!
Utumishi wa umma una falsafa ya "kujisahihisha kimfumo" sio kutimuana timuana.
Raila atakuwa mkosaji, muhaini na muuaji!
Why Kenya could be among failed statesHehehe... Hauelewi chochote.... Keti na ujienjoy.... Kenya is maturing by the day
Waliovuruga zaidi ni wabunge wa JUBILEE kuifanyia mabadiliko sheria ya Uchaguzi ambapo itaanza kufanya kazi Uchaguzi was tarehe 26 oktoba (Kenyatta amesema ataipitisha akiletewa kwa ajili ya sahihi).Lakini Madai ya Raila ni ya msingi, kwa nini yasitatuliwe ili amani iwepo?
Yes na ilo ndo walisahau kuwepo katika madai yao ya msingi mahakamani wao wakabeba la kura tu,afu wanakuja hapa na maswali kwamba Raila ako na wafuasi Kenya nzima,hii itakuwa ajabu na wagombea wametia 8 mpaka asubuhi hii yy muache apige mayoweWho is Raila aridhishwe kila kitu!? Wewe alitaka uchaguzi wa Marudio au alitaka tume mpya? Mbona hakulidai hilo kortini?
Kumbe tunajadiliana na watu usiokuwa na habari kamili endeleeni kufanya upuuzi wa kuandama mpaka mchokeWatu hamjui kitu alafu mnapiga kelele, makes me puke.
Huyo mgombea nae amekataa, anataka demands za Raila zitimizwe. Reform of iebc.
Thirdway Alliance hao ndanivya Dr AukotKumbe tunajadiliana na watu usiokuwa na habari kamili endeleeni kufanya upuuzi wa kuandama mpaka mchoke
Angepeleka ombi hilo mahakamani inge make sense.by the way mahakama haikusema Tume ivunjwe
Mahakama ilisema tofauti zirekebishwe
sasa mtu anapokuja na madai yake yeye eti tume ifutwe...This guy is insane
Kumbukeni hii tume ni ya pili baada ya ile ya kwanza kuvunjwa..pia kwa sababu ya madai yake kuwa hana imani nayo.
sasa yeye anataka tume ambayo inaongozwa na NASA?
Raila hata ma Principal wenzie wawe ma commisioner wa IEBC na akashindwa bado atasema tume imeingiliwa...Jubilee walisema Nasa hawapo tayari kwa uchaguzi tangu wowote ule tangia August na hii hii imeonekana kua ni kweli...Haingii akilini kwa aliyeshinda uchaguzi kihalali kuzunguka tena nchi nzima akifanya kampeni, kitu gani kilichobadilika baada ya matokeo kufutwa au ahadi gani alisahau kuitoa kwenye kampeni zilizopita?
Kampeni ya Jubilee ni kutaka kuihadaa dunia kwamba wakati wanafanya kampeni NASA walikua kwa press conferences.but the fact is they are sure the system that assisted them to win is still in place. So if the IEBC systems remain the same still Jubilee will win the repeat election.
Kama wanataka credible election waifanyie mabadiliko IEBC kwanza na ndiyo NASA wanachotaka.
All confilicts are ended up with dialogue, they should not wait for people to die ndiyo wakuje mezani kuzungumza. They get it wrong if they underestimate the power of Raila.
Wandugu,
Hii taarifa ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio Kenya unaotarajiwa kufanyika October 26 si habari njema kwa wakenya.
Ikumbukwe kuwa Rails na wenzake was NASA hawawezi kususia uchaguzi wa marudio bila kuwa na mbinu mbadala wa suala hili, na hali inajionyesha dhahiri kwamba wapo tayari kuwaamrisha wafuasi wao hata kufanya vurugu ili nchi isitawalike.
Natabiri vurugu zinaweza kuwa kubwa zaidi ya ilivyotokea mwaka 2007.
Raila si wa kupuuzwa hata kidogo na madai yake ya kutaka mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi ni ya msingi kabisa. Jambo la ajabu sana hapa kwa nini hii tume iliyovuruga uchaguzi wa kwanza iendelee kung'ang'ania kuendesha uchaguzi wa marudio. Na ajabu zaidi tume hii inaungwa mkono kwa asilimia Mia moja na chama tawala cha Jubilee chini ya Uhuru Kenyatta. Kwa vyovyote vile NASA chini ya Odinga wapo sahihi kabisa kususia marudio ya huu uchaguzi vinginevyo watajitumbukiza kwenye mtego na watashindwa kujitegua.
Suluhisho pekee la kunusuru hali hii ya machafuko ambayo tunaitarajia kutokea ni kwa hii tume inayijiita isiyo na mipaka kujiuzulu, vinginevyo machafuko hayaepukiki. Halahala Wakenya, mti na macho.
Ole ole ole wao watakaoleta vurugu siku hiyo,, cha moto watakiona! Hauwezekani wewe ujitoe halafu ulete vurugu, Rais hataruhusu kitu hiyo itokee!! Wenzake wanapiga kampe yeye anahamasisha maandamano!!Wandugu,
Hii taarifa ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio Kenya unaotarajiwa kufanyika October 26 si habari njema kwa wakenya.
Ikumbukwe kuwa Rails na wenzake was NASA hawawezi kususia uchaguzi wa marudio bila kuwa na mbinu mbadala wa suala hili, na hali inajionyesha dhahiri kwamba wapo tayari kuwaamrisha wafuasi wao hata kufanya vurugu ili nchi isitawalike.
Natabiri vurugu zinaweza kuwa kubwa zaidi ya ilivyotokea mwaka 2007.
Raila si wa kupuuzwa hata kidogo na madai yake ya kutaka mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi ni ya msingi kabisa. Jambo la ajabu sana hapa kwa nini hii tume iliyovuruga uchaguzi wa kwanza iendelee kung'ang'ania kuendesha uchaguzi wa marudio. Na ajabu zaidi tume hii inaungwa mkono kwa asilimia Mia moja na chama tawala cha Jubilee chini ya Uhuru Kenyatta. Kwa vyovyote vile NASA chini ya Odinga wapo sahihi kabisa kususia marudio ya huu uchaguzi vinginevyo watajitumbukiza kwenye mtego na watashindwa kujitegua.
Suluhisho pekee la kunusuru hali hii ya machafuko ambayo tunaitarajia kutokea ni kwa hii tume inayijiita isiyo na mipaka kujiuzulu, vinginevyo machafuko hayaepukiki. Halahala Wakenya, mti na macho.
Uhuru pia alifanya aliances na vyama vingine.hadi afanye coliation na vyama vingine ndo apate kura nyingi! Uhuru kasimama na chama cha jubelee na kambwaga
Uhuru pia alifanya aliances na vyama vingine.
Hahahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Utakufa bure ukifikiria juu ya Kenya yet when you wake up every morning, the country ahead of you is always Kenya......... . Better a failed state it will wake up some day just like Somalia is surpassing you now than A banana Republic like yours