Tutarajie Mkeka wa Baraza, Wakurugenzi, Ma DC Lengo Kuzima Mjadala CHADEMA

britanicca anasemaje
 
Mwejakoo
 
Steve Nyerere ๐Ÿ˜ก
Mjadala wa Binti aliyebakwa mande Yombo ndio umekufa pia.
 
Don't hate the players hate the games!
Chukuwachakomapema wanachowazidi upinzani ndio hicho!
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ
 
Kuwakama viongozi wa CDM imeonyesha namna viongozi wa ccm walivyo na hofu na woga dhidi ya CDM.
Bado Vyombo vya dola hasa mapolisi wanatumika vibaya sana kukandamiza uhuru wa mawazo na kujieleza.
Ifike mahali wananchi tuiambie ccm 'IMETOSHA'
 
Naungana na yule mwandishi wa mada elimishi alivyosema Wasaidizi wa Mama hawamwambii ukweli!
 
Acheni kujifariji, hivi Kuna jambo ambalo lilitikisa nchi km mjadala wa DPWORLD mpk watu wa chini kabisa walijua, waraka wa maaskofu ulisomwa kwenye vigango vyote, Leo hii nani anakumbuka? Hili nalo litapita, hakuna jipya
Ukweli mchungu huu nao ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
 
Kwani Chura kiziwi ye anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ