- Thread starter
- #21
Hawa walikuwa hawaheshimu mpira ndio maana leo hawana furahaHamna unajua ulipotolewa na timu ya botswana ni kama funzo KWA Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa walikuwa hawaheshimu mpira ndio maana leo hawana furahaHamna unajua ulipotolewa na timu ya botswana ni kama funzo KWA Yanga
acha udwanziMi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
Malizana kwanza na power dynamos ndio uongelee ya yangaMi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira
Simba je ipoje ndugu mchambuzi?Nimeiangalia yanga kiufundi Bado sana
Katikati ya Uwanja Kuna shida kidogo.
Pale anapokaa Aucho alitakiwa akae mtu kama Bangala
Pale anapokaa Mudathiri alipaswa akae Aucho.
Pale anapokaa KENEDY Musonda alitakiwa akae Mtu anayefanana na Mayele.
Watasema tu, we tulia...Bado hamjasema
Hilo ndilo lengo la yanga, kuwafanya mashabiki mfurahi mpaka wewe unafurahiSana
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.Nimeiangalia yanga kiufundi Bado sana
Katikati ya Uwanja Kuna shida kidogo.
Pale anapokaa Aucho alitakiwa akae mtu kama Bangala
Pale anapokaa Mudathiri alipaswa akae Aucho.
Pale anapokaa KENEDY Musonda alitakiwa akae Mtu anayefanana na Mayele.
5 Ziliiisha kitambo zile mechi 2 basiiii...hawatakuja kufunga tena hizo 5 nipo nimekaa palee...Tulishampongeza aliposhinda Rwanda,lakini akawa na kiburi eti amalize kwanza kwa kumpa mtu tano.
Unasumbuka na hii mizwazwa mkuu..Tunashukuru mmesema wenyewe huko makundi pagumu. Tukizifunga timu huko msianze kuziita dhaifu tena
Una leseni gani?Nimeiangalia yanga kiufundi Bado sana