Tutashinda goli 5". Mjifunze kuheshimu mpira

Tutashinda goli 5". Mjifunze kuheshimu mpira

Mimi ni shabiki wa Simba, lakini tukiacha ushabiki maandazi, yanga wako vizuri na watafika mbali. Mangungo na wenzake wanaiua Simba Kwa kuokoteza wachezaji Ili wapate ganji/ wapige Hela.
 
images (2) (1).jpeg
 
Mimi ni shabiki wa Simba, lakini tukiacha ushabiki maandazi, yanga wako vizuri na watafika mbali. Mangungo na wenzake wanaiua Simba Kwa kuokoteza wachezaji Ili wapate ganji/ wapige Hela.

Yanga ya MSIMU uliopita ilikuwa ni Bora zaidi kuliko hii.

Kimbinu na Kiufundi

(Mayele, Bangala na FEISAL)
 
Mimi ni shabiki wa Simba, lakini tukiacha ushabiki maandazi, yanga wako vizuri na watafika mbali. Mangungo na wenzake wanaiua Simba Kwa kuokoteza wachezaji Ili wapate ganji/ wapige Hela.
Huwa mnapenda kuikana timu yenu kwa nini?
Unaona aibu kusema wewe ni topolo?!
 
Nimeiangalia yanga kiufundi Bado sana

Katikati ya Uwanja Kuna shida kidogo.
Pale anapokaa Aucho alitakiwa akae mtu kama Bangala
Pale anapokaa Mudathiri alipaswa akae Aucho.

Pale anapokaa KENEDY Musonda alitakiwa akae Mtu anayefanana na Mayele.
Mkuu timu yako unayofundisha ipo daraja la ngapi?
 
Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.

Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.

Tujifunze kuheshimu mpira
inauma sana robo fainali yenu inavyoenda kugeuzwa andazi msimu huu
 
kwani Tp Mazembe , club Africans na usm Algiers sio vigogo wa soka Africa ?

Yanga imeshakutana na hao al ahly na wakaponea chupu chupu huko huko kwao Cairo mleta mada kila timu afrika inaweza kufungwa na yanga na sio ajabu Tena .
 
Back
Top Bottom