Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
😄Unasumbuka na hii mizwazwa mkuu..
Hawa bado hawajasema Yanga hii labda ifungwe na hakimu..
Mimi ni shabiki wa Simba, lakini tukiacha ushabiki maandazi, yanga wako vizuri na watafika mbali. Mangungo na wenzake wanaiua Simba Kwa kuokoteza wachezaji Ili wapate ganji/ wapige Hela.
Wafate huko waliko, usitupangie wewe mzeeYanga ya MSIMU uliopita ilikuwa ni Bora zaidi kuliko hii.
Kimbinu na Kiufundi
(Mayele, Bangala na FEISAL)
Wafate huko waliko, usitupangie wewe mzee
Unataka kua mama yangu wa kambo naona leo umekomaa na mshua wanguAwafuate Babaako
Huwa mnapenda kuikana timu yenu kwa nini?Mimi ni shabiki wa Simba, lakini tukiacha ushabiki maandazi, yanga wako vizuri na watafika mbali. Mangungo na wenzake wanaiua Simba Kwa kuokoteza wachezaji Ili wapate ganji/ wapige Hela.
Mkuu timu yako unayofundisha ipo daraja la ngapi?Nimeiangalia yanga kiufundi Bado sana
Katikati ya Uwanja Kuna shida kidogo.
Pale anapokaa Aucho alitakiwa akae mtu kama Bangala
Pale anapokaa Mudathiri alipaswa akae Aucho.
Pale anapokaa KENEDY Musonda alitakiwa akae Mtu anayefanana na Mayele.
inauma sana robo fainali yenu inavyoenda kugeuzwa andazi msimu huuMi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini imewahenyesha haswaa nyumbani.
Tujifunze kuheshimu mpira