Tutashuhudia wizi na ufisadi wa kutisha awamu hii kwasababu waliopo madarakani HAWANA uhakika wa kupata madaraka tena!!

Nchi Ina utawala wa Sheria hata wakifisadi ukweli utafahamika tu.

Ndio maana hata Leo mfano kupitia ripoti za CAG, Taifa limeendelea kufahamu ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma uliofanywa kipindi cha awamu ya Tano.

Kufahamu tunaweza kufahamu bila hata hiyo ripoti ya CAG, hatua zinachukuliwa, hilo ndio la maana.
 
Wenye nchi yao watakuwa wameona kuwa MACHO malegevu na TABASAMU wameenda america kuigiza KWA pamoja HUKO nadhani wanajua in details nini kinaendelea huko na kama kuna ubaya wowote basi wanajua cha kufanya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…