Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika.
Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime hupata zile nafasi kwa sababu ya bahati au system ilivyo na kadhalika.
Siasa binafsi,nachukulia kama kipaji cha kutengeneza uwango mwingi,kwa sababu hububikwa na ahadi za uwongo na ujanja ujanja mweusi mweusi.
Ndio maana watu wenye IQ (akili) kubwa hawapendi siasa hata kidogo.ndio maana Albert Einstein alipewa urais katika nchi ya ujerumani akakataa.
Moja kwa moja ningie kwenye mada usika....binafsi naona hili swala la loliondo na Ngorongoro tukiamua kwa kutumia hoja za kisiasa na sio za kitaalam litakuja kuzalisha tatizo kubwa baadaye ambalo linaweza kuja kugharimu vizazi vyetu kwa namna nyingine.
Kitendo cha kumuhamisha mmasai mwenye ngo'mbe elfu 10 au 5 na kupeleka kilindi...maana yake huyu mmasai baada ya miaka mitano au 10 hataweza kuwa idadi hiyo ya mifugo..maana lazima hiyo mifugo ipungue labda kutoka na malisho hafifu au magonjwa mapya yatakayopatikana maeneo hayo n.k
.Ikiendelea hivyo baada ya miaka kadha hao wamasai wanaweza kugeuka na kuwa wakulima na hilo linawezekana.
Hapo tutanza kununua kilo ya nyama elfu 20 au 50...nyama inaweza kuwa ni bidhaa adimu kwa familia masikini..
Kwa hili swala la kuwahamisha wamasai tuliangalia kwa jicho la mbali sana la kitaalam....majibu majibu ya kisiasa ni hatari sana katika swala hili.
NB..hichi kizazi kilichosoma miaka ya uhuru wanatuharibia nchi..boro watoweke tuje kuijenga nchi tena.