Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

Hapo vip!!
Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika.

Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime hupata zile nafasi kwa sababu ya bahati au system ilivyo na kadhalika.

Siasa binafsi,nachukulia kama kipaji cha kutengeneza uwango mwingi,kwa sababu hububikwa na ahadi za uwongo na ujanja ujanja mweusi mweusi.

Ndio maana watu wenye IQ (akili) kubwa hawapendi siasa hata kidogo.ndio maana Albert Einstein alipewa urais katika nchi ya ujerumani akakataa.

Moja kwa moja ningie kwenye mada usika....binafsi naona hili swala la loliondo na Ngorongoro tukiamua kwa kutumia hoja za kisiasa na sio za kitaalam litakuja kuzalisha tatizo kubwa baadaye ambalo linaweza kuja kugharimu vizazi vyetu kwa namna nyingine.

Kitendo cha kumuhamisha mmasai mwenye ngo'mbe elfu 10 au 5 na kupeleka kilindi...maana yake huyu mmasai baada ya miaka mitano au 10 hataweza kuwa idadi hiyo ya mifugo..maana lazima hiyo mifugo ipungue labda kutoka na malisho hafifu au magonjwa mapya yatakayopatikana maeneo hayo n.k
.Ikiendelea hivyo baada ya miaka kadha hao wamasai wanaweza kugeuka na kuwa wakulima na hilo linawezekana.

Hapo tutanza kununua kilo ya nyama elfu 20 au 50...nyama inaweza kuwa ni bidhaa adimu kwa familia masikini..

Kwa hili swala la kuwahamisha wamasai tuliangalia kwa jicho la mbali sana la kitaalam....majibu majibu ya kisiasa ni hatari sana katika swala hili.
NB..hichi kizazi kilichosoma miaka ya uhuru wanatuharibia nchi..boro watoweke tuje kuijenga nchi tena.
View attachment 2274288
 
Kila mtu anataka kuwa mfanya biashara ndo hapo vyakula vitaanza kupungua tuagize Urusi.
 
Unajua kuwa huko Kilindi unapopasema kuna wamasai wanaishi huko miaka nenda rudi na wanang'ombe zao? Huu upotoshaji wa kusema kuwa ng'ombe wakiondolewa loliondo au ngorongoro watakufa sijui watu wanapata faida gani nao. Jamii za wafugaji kama wasukuma, wamang'ati etc wapo ngorongoro pia? By population ni percent ngapi ya wamasai wafugaji wapo ngorongoro ukilinganisha na population yao yote iliyotapakaa nchi nzima? Hebu acheni uhuni aisee tafuteni hoja za msingi kutushawishi.
Watu wenye hoja aina yako tumeshawachoko...na ndio chanzo cha matatizo katika jamii yetu.
 
Watu wenye hoja aina yako tumeshawachoko...na ndio chanzo cha matatizo katika jamii yetu.
Toa hoja zenye mashiko usipelekeshwe na wanaojiita wanaharakati bila kufanya utafiti wako binafsi. Wasukuma wanahamishwa kila siku kupisha machimbo ya madini kwenye ardhi za mababu zao hatusikii makelele yeyote.
 
Yaani ndugu yangu, kule Botswana wamejitahidi kufanya ufugaji wenye tija, kiasi kwamba mifugo yaani ngo'mbe ni kati ya maeneo yenye tija baada ya almasi.....bt kwa mifumo na siasa za Tz, sidhani kama wanaweza kufanya kama Botswana........
Swali ni, je, kama botswana wameweza, kwa nini sisi tusiweze?
 
Unadhani Wamaasai wa Ngorongorona Loliondo ndio wafugaji pekee nchini?
Tembea ujionee kuanzia Morogoro hadi Katavi na Lindi
Kwani amesema "pekee"? Pengo lao kwa hakika lazima litaonekana!
 
Hapo vip!!
Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika.

Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime hupata zile nafasi kwa sababu ya bahati au system ilivyo na kadhalika.

Siasa binafsi,nachukulia kama kipaji cha kutengeneza uwango mwingi,kwa sababu hububikwa na ahadi za uwongo na ujanja ujanja mweusi mweusi.

Ndio maana watu wenye IQ (akili) kubwa hawapendi siasa hata kidogo.ndio maana Albert Einstein alipewa urais katika nchi ya ujerumani akakataa.

Moja kwa moja ningie kwenye mada usika....binafsi naona hili swala la loliondo na Ngorongoro tukiamua kwa kutumia hoja za kisiasa na sio za kitaalam litakuja kuzalisha tatizo kubwa baadaye ambalo linaweza kuja kugharimu vizazi vyetu kwa namna nyingine.

Kitendo cha kumuhamisha mmasai mwenye ngo'mbe elfu 10 au 5 na kupeleka kilindi...maana yake huyu mmasai baada ya miaka mitano au 10 hataweza kuwa idadi hiyo ya mifugo..maana lazima hiyo mifugo ipungue labda kutoka na malisho hafifu au magonjwa mapya yatakayopatikana maeneo hayo n.k
.Ikiendelea hivyo baada ya miaka kadha hao wamasai wanaweza kugeuka na kuwa wakulima na hilo linawezekana.

Hapo tutanza kununua kilo ya nyama elfu 20 au 50...nyama inaweza kuwa ni bidhaa adimu kwa familia masikini..

Kwa hili swala la kuwahamisha wamasai tuliangalia kwa jicho la mbali sana la kitaalam....majibu majibu ya kisiasa ni hatari sana katika swala hili.
NB..hichi kizazi kilichosoma miaka ya uhuru wanatuharibia nchi..boro watoweke tuje kuijenga nchi tena.
Of course
 
Nami nimekua nikipata mashaka na hao viongozi wetu hivi ngombe so mnyama kama nyumbu na kifaru na wengine? Na si anakula majani tu kama wengine? Kwa nini kuwa na ngombe milioni moja mbugani iwe ni kuaribu mazingira wakati nyumbu wapo mamilioni na hawaonekani kuaribu mazingira? Hawa viongozi hizi elimu zao wanatoa wapi? Au ni wivu unawasumbua? Au ni kukosa elimu? Ukisikiliza bunge wale wabunge ndio kichefuchefu zaidi hawajui chochote yaani ni hasara Kwa taifa Mungu tu atusaidie
Tumia akili au nyumbu wanatengeneza ecosystem ni chakula cha simba,sasa simba hawezi kula ng'ombe sababu analindwa na masai,matokeo yake si.baatakufa njaa ama atahama hifadhi
 
“NB..hichi kizazi kilichosoma miaka ya uhuru wanatuharibia nchi..boro watoweke tuje kuijenga nchi tena.”
Haya ni mawazo ya mtu anayefikiria ki Adolf Hitler ku-wipeout kizazi flani kwamba ndio solution kwa watakaobaki, Magu alikuwa na hii mentality kwenye Mass media, ile design ya Sodoma na Gomora kwenye bible dhidi ya maovu…. Binadamu tuna mengi.
 
Back
Top Bottom