Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

View attachment 2274288
 
Kila mtu anataka kuwa mfanya biashara ndo hapo vyakula vitaanza kupungua tuagize Urusi.
 
Watu wenye hoja aina yako tumeshawachoko...na ndio chanzo cha matatizo katika jamii yetu.
 
Watu wenye hoja aina yako tumeshawachoko...na ndio chanzo cha matatizo katika jamii yetu.
Toa hoja zenye mashiko usipelekeshwe na wanaojiita wanaharakati bila kufanya utafiti wako binafsi. Wasukuma wanahamishwa kila siku kupisha machimbo ya madini kwenye ardhi za mababu zao hatusikii makelele yeyote.
 
Yaani ndugu yangu, kule Botswana wamejitahidi kufanya ufugaji wenye tija, kiasi kwamba mifugo yaani ngo'mbe ni kati ya maeneo yenye tija baada ya almasi.....bt kwa mifumo na siasa za Tz, sidhani kama wanaweza kufanya kama Botswana........
Swali ni, je, kama botswana wameweza, kwa nini sisi tusiweze?
 
Unadhani Wamaasai wa Ngorongorona Loliondo ndio wafugaji pekee nchini?
Tembea ujionee kuanzia Morogoro hadi Katavi na Lindi
Kwani amesema "pekee"? Pengo lao kwa hakika lazima litaonekana!
 
Of course
 
Tumia akili au nyumbu wanatengeneza ecosystem ni chakula cha simba,sasa simba hawezi kula ng'ombe sababu analindwa na masai,matokeo yake si.baatakufa njaa ama atahama hifadhi
 
“NB..hichi kizazi kilichosoma miaka ya uhuru wanatuharibia nchi..boro watoweke tuje kuijenga nchi tena.”
Haya ni mawazo ya mtu anayefikiria ki Adolf Hitler ku-wipeout kizazi flani kwamba ndio solution kwa watakaobaki, Magu alikuwa na hii mentality kwenye Mass media, ile design ya Sodoma na Gomora kwenye bible dhidi ya maovu…. Binadamu tuna mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…