Pre GE2025 Tutegemee muda si mrefu mzee wa victoria akahama chama kisa vipande vya thumni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naungana na wewe. CCM walimdhalilisha sana kwenye uchaguzi fulani pale JIJI. Kama akiunga juhudi atakuwa mwendawazimu
Acha tukio hilo, kubwa zaidi ni lile la kuuawa kwa mdogo wake kule Rorya na yeye mwenyewe (Wenje) kunusurika kwa kufichwa na Wasamaria wema kwenye kibanda ambacho hakuna mtu angeweza kutarajia kwamba Mhe.Wenje yumo humo.

Ila kwa akili za Wanasiasa si ajabu kweli akahamia kwa Watesi wake. Mimi huwa nawachukulia Wanasiasa kuwa ni watu ambao akili zao haziwatoshi sawa sawa.
 
palipofikia CHADEMA hata ahame nani, hakuna tena wa kukirudisha nyuma, aende salama tunamuombea mema. kuna mtu analalamika huko eti Mbowe hapokei simu zake
 
Na kuuwawa Kwa mdogo wake Unaweza kuta naye ameshiriki lakini ikatengenezwa ili naye aonekane alikuwa anasakwa kuuwawa###SelfMaoni###
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…