Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Aug 6, 2024 #21 Palmoni said: Na kuuwawa Kwa mdogo wake Unaweza kuta naye ameshiriki lakini ikatengenezwa ili naye aonekane alikuwa anasakwa kuuwawa###SelfMaoni### Click to expand... Kwa huu ulimwengu tunaoishi, inawezekana kabisa.
Palmoni said: Na kuuwawa Kwa mdogo wake Unaweza kuta naye ameshiriki lakini ikatengenezwa ili naye aonekane alikuwa anasakwa kuuwawa###SelfMaoni### Click to expand... Kwa huu ulimwengu tunaoishi, inawezekana kabisa.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Aug 6, 2024 #22 Missile of the Nation said: Huyu si ndo alimpeleka Abduli kwa Lissu ili naye apate mgao, Lissu akamfukuzilia Abduli mbali? Click to expand... ukosahihi mshenga wa abduL jamaa
Missile of the Nation said: Huyu si ndo alimpeleka Abduli kwa Lissu ili naye apate mgao, Lissu akamfukuzilia Abduli mbali? Click to expand... ukosahihi mshenga wa abduL jamaa
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Aug 6, 2024 #23 Ubwela Kalikonji said: Naungana na wewe. CCM walimdhalilisha sana kwenye uchaguzi fulani pale JIJI. Kama akiunga juhudi atakuwa mwendawazimu Click to expand... ..Upendo Peneza alidhalilishwa kijinsia na wana Ccm lakini bado ameungana nao. ..huenda pesa wanayopewa ni kubwa mno, ni mwendawazimu pekee anaweza kuikataa.
Ubwela Kalikonji said: Naungana na wewe. CCM walimdhalilisha sana kwenye uchaguzi fulani pale JIJI. Kama akiunga juhudi atakuwa mwendawazimu Click to expand... ..Upendo Peneza alidhalilishwa kijinsia na wana Ccm lakini bado ameungana nao. ..huenda pesa wanayopewa ni kubwa mno, ni mwendawazimu pekee anaweza kuikataa.
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,033 Reaction score 10,622 Aug 6, 2024 #24 tripof said: Kama P.Msigwa kahama na hakuna athari wacha wale pesa ya CCM,Pambalu atachukua nafasi yake. He is not material as such. Alitokea CCM so far Click to expand... Athari ipo ila wewe mpiga kelele nyuma ya keyboard huwezi kuijua. Hawezi kuondoka kiongozi mkubwa hivyo akaenda kwa upande wa adui alafu useme hakuna athari. Mbowe angekuwa karibu na wewe angekudunga kwenzi
tripof said: Kama P.Msigwa kahama na hakuna athari wacha wale pesa ya CCM,Pambalu atachukua nafasi yake. He is not material as such. Alitokea CCM so far Click to expand... Athari ipo ila wewe mpiga kelele nyuma ya keyboard huwezi kuijua. Hawezi kuondoka kiongozi mkubwa hivyo akaenda kwa upande wa adui alafu useme hakuna athari. Mbowe angekuwa karibu na wewe angekudunga kwenzi