Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
1702095016626.png
 
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
kwa tanzania tunayoifahamu sisi watanzania hilo sio jambo la kushangaza wala kustaajabisha mkuu, hapo ni kada anaongea na kada mwenzake.
 
Tunaenda kuwa a mafia state,huku makonda,huku sabaya,wote wauaji makatili.
Kuna malipo tu siku ya hesabu

(1) Pindi mbingu zitakapopasuka na ukaharibika mpango wake.

(2) Na pindi nyota zitakapoangukiana.

(3) Na pindi Mwenyezi Mungu Atakapozifanya bahari kulipuka na maji yake kutoweka.

(4) Na pindi makaburi yatakapogeuzwa kwa kufufuliwa waliokuwamo ndani yake.

(5) Wakati huo itajua kila nafsi vitendo vyake vyote ilivyovifanya, vilivyotangulia na vilivyoahirika na italipwa kwa
kuwa a mafia state,huku makonda,
 
Back
Top Bottom