Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Daaaaa Kwa hyo aibu imebaki Kwa wale walisimama mahakaman kumshatki sabaya Kwa kuporwa Mali zao na kupigwa na kunyaswaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Maishà ya Wana CCM n maigizo matupuu..
 
Mahakama za CCM cyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbowe ni Gaidi na hajawahi kukana mahakamani na akashinda kesi. Alitolewa kwa msamaha wa Rais. Mbona hamumuongelei yeye na kakutana hadi na RAIS? Lissu pia alikuwa na kesi kibao kafutiwa kimya kimya na kakutana hadi na Rais. Why not them? Sabaya kaachiwa na Mahakama yenyewe kwa kuprove hana hatia. Heshimuni mahakama na pia kama Sabaya mnadhani ni mkosaji kamateni Lisu, Lema na Mbowe rudisheni ndani maana hawajawahi kusimama mahakamani na kushinda mikesi yao.
 
Jambazi sugu litatafutiwa postion kubwa ndani ya siri-kali. Tunasubiri kwa hamu ile Triangle ya Sabaya - Makonda - Mnyeti irudi tena.
1702099679258.png


CCM oyeee

hutaki tangulia Burundi.
 
Sabaya ni binadamu kama walivyo wengine

Yaan bado mnataka aendelee kutengwa licha ya kutumikia adhabu zake?
Nani amesema kutengwa? Watu wanaulizia usafi wake kwenye uongozi. Kusema mtu hafai kwenye uongozi siyo kumtenga. Huyu jamaa ni jambazi na kuna siku atalipia madhambi yake. BTW picha ni kama ya zamani wakati akiwa kwenye kilele cha ujambazi.
 
Back
Top Bottom