Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Sasa shida ipo wapi.Mahakama imemuachia huru tafsiri yake hana makosa.

KWANI MTUHUMIWA/MSHTAKIWA HANA HAKI YA KUONGEA NA KIONGOZI?
 
Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
Alikutwa na hatia ila aliingia kwenye plea-bargain..
Najua hujui maana ya neno plea-bargain anyway
 
Aisee haya maisha bwana yanaendeshwa na mawazo ya kila siku.

Unaanza na huyu kwa kwa kumuamini kabsaa kuwa ni mtakatifu na kumtenga yule unayemuona ni jambalaya,fisqdi n.k

Lakini baadaye unakuja kugundua kumbe bora yule jambazi kwakuwa ujambazi wake ni kutokana na kupambana na majambazi ya enzi za ukoloni huko na watu wanaojiona nchi hii ni yao na hawagusiki kabsaa.

Hawa uliowaamini kuwa ni watakatifu kumbe ni NYOKA KABSAA BORA YULE TABIA ZAKE UNAZIJUA.
 
Aisee haya maisha bwana yanaendeshwa na mawazo ya kila siku.

Unaanza na huyu kwa kwa kumuamini kabsaa kuwa ni mtakatifu na kumtenga yule unayemuona ni jambazi,fisqdi n.k

Lakini baadaye unakuja kugundua kumbe bora yule jambazi kwakuwa ujambazi wake ni kutokana na kupambana na majambazi ya enzi za ukoloni huko na watu wanaojiona nchi hii ni yao na hawagusiki kabsaa.

Hawa uliowaamini kuwa ni watakatifu kumbe ni NYOKA KABSAA BORA YULE TABIA ZAKE UNAZIJUA
 
Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
Kama Lissu alivyotuambiaga ile 2015 kwenye kampeni za uchaguzi kuwa kama Lowassa ni fisadi mbona hajapelekwa mahakamani?
 
kwa tanzania tunayoifahamu sisi watanzania hilo sio jambo la kushangaza wala kustaajabisha mkuu, hapo ni kada anaongea na kada mwenzake.
Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.

CCM ni syndicate ya wizi na uchafu wa kila aina. Wanatofautiana kwa viwango tu.
 
Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.
Majizi ya kura hayaogopi tena kufanya upvu wowote ule,dhamira zao zilishakufa siku nyingi.
 
Back
Top Bottom