Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
kwa tanzania tunayoifahamu sisi watanzania hilo sio jambo la kushangaza wala kustaajabisha mkuu, hapo ni kada anaongea na kada mwenzake.
 
Tunaenda kuwa a mafia state,huku makonda,huku sabaya,wote wauaji makatili.
Kuna malipo tu siku ya hesabu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…