Tutegemee nini toka kwa Kocha Muargentina?

MAKOMBE TU HAKUNA KINGINE HAPO.
 
Na tunayaheshimu mawazo yako....
 
Huko mbali mi nimeoa mwarabu original na sio hao koko
 
Ndio Maana unajiita FAIZA
 
Ahahhahah bib kizee bhan
 
Ila pia nakukubali sna mnk huwa huyumbishwi kirahisi
 
Wachezaji wote ni weusi atambagua nani? au anakuja na wazungu wenzake?
 
Wewe ni mwananchi?
 
Wachezaji wote ni weusi atambagua nani? au anakuja na wazungu wenzake?
Utakuja kuyakumbuka maneno yangu si muda mrefu kuanzia atapoanza kazi.


Jiulize kwanini hakai kwenye timu zote alizopitia? Timu alizofikisha miaka miwili ni mbili tu, zingine zaidi ya kumi hajamaliza mwaka. Kwanini?


Hivi utaijenga timu gani?

Huyo ni upinde tu, anatafuta vijana wapya wa kumshughulikia, akikosa hakai.
 
Kwahio Nabi nae ni upinde maana huko nyuma hakua na history ya kukaa kwenye timu mwaka mzima, nmekuuliza atambagua nani amuache nani au unaongelea ubaguzi wa dini?
 
Waarabu ndio wanaongoza kwa ubaguzi duniani na mambo ya kula Tigo ukitaka nikuwekee video zao hapa
 
Yule msemaji qa Yanga aliiyekuwa anaongea jana kumtambulisha kocha mpya hata kutamka majina haelewi..

Hivi mtu kama yule anakuwaje msemaji wa klabu?

Manara yupo juu sana asingefanya ujinga uke.


Ngija nimpe darsa yule kijana na mapoyoyo wengine wa JF:

Jina lake huyo kocha halitamkwi kama kinavyosomeka Kiswahili. Ikiwa utatamka kama tunavyotamka Kiswahili utatamka "migel enjol gamondi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…