Binafsi siyo mtaalam wa mambo ya soka, nnachoweza kusema kuwa si mtu wakukaa sana kutokana na CV yake niliyoisikia akitambulisha. Ni mtu wa ma adventure na anatumia ujuzi wake mdogo alionao "kula bata" kwa wajinga.
Kwanza huyo atachukiwa sana na wachezaji wengi kwa muda mfupi sana ujao, kwani ni mbaguzi wa rangi (wa Argentina ni wabaguzi sana wa rangi). Pia hajanikalia sawa kimuonekano wake, nimehisi ana features za upinde.
Mtanisameh sana washabiki wa soka, ni maoni yangu ya awali tu. Naweza kuwa nipo au sipo sahihi.