Tutegemee nini toka kwa Kocha Muargentina?

Waarabu ndio wanaongoza kwa ubaguzi duniani na mambo ya kula Tigo ukitaka nikuwekee video zao hapa
Huwa sikisii.

Mimi nakuonesha hii moja ya Argentina, wewe onesha ya nchi ya Kiarabu, hivi kocha huyu ana mke?

Mahakama nchini Argentina imewatia hatiani makasisi wawili wa Kanisa Katoliki na aliyekuwa mtunza bustani wa shule ya wanafunzi viziwi inayosimamiwa na kanisa kwa makosa 28 ya unyanyasaji wa kingono na rushwa kwa watoto wadogo.

Soma zaidi na chanzo👇🏾

umenichekesha sana! zanzibar hutumia a neno: mswahili kuoa au kuolewa na mwarabu!
 
mkuu itoshe kusema kuwa una matatizo ya akili.
 
Usajili wa kocha au mchezaji ambaye sijawahi kumuona,huwaga kwanza na kaa kimya, atleast baada ya mechi tano ndio nitaanza kutoa comment.
 
@mods kuna mtu amekwiba account ya @faizerfox
 
@mods kuna mtu amekwiba account ya @faizerfox
Thubutuuu, ni mimi mwenyewe hapo nimechangia maoni yangu.

Huwa sikisii.

In Shaa Allah Tukijaaliwa utakuja kuyambuka maneno yangu baada ya muda si mrefu.
 
Nawauliza Yanga, huyu kocha mpya amewahi kuowa? Maana ana muonekano wa upinde.
 
Nawauliza Yanga, huyu kocha mpya amewahi kuowa? Maana ana muonekano wa upinde.
Football sio fani yako uliwahi kumuona mke wa Nabi, Robertinho, Jamuhuli Kiwelu, Mwinyi Zahera?
 
Football sio fani yako uliwahi kumuona mke wa Nabi, Robertinho, Jamuhuli Kiwelu, Mwinyi Zahera?
Nimemuona mtoto wa Nabi akifanyiwa interview.

Sijaongelea kumuona mke wa mtu, nimeuliza kaoa? Cv yake si itaondsha ana mke au hana.

Hao wengine siwafahamu.
 
Nimemuona mtoto wa Nabi akifanyiwa interview.

Sijaongelea kumuona mke wa mtu, nimeuliza kaoa? Cv yake si itaondsha ana mke au hana.

Hao wengine siwafahamu.
Ukiona mtoto unajua mtu kaoa? watu wa upinde hawana watoto? Kwanini unampa mtu kashifa nzito ambayo huna uhakika nayo? Unanifahamu mke wa Mgunda?
 
Kiswahili chenyewe hujui pumbavu kabisa.

" ngija" ndio nini?
 
Nimemuona mtoto wa Nabi akifanyiwa interview.

Sijaongelea kumuona mke wa mtu, nimeuliza kaoa? Cv yake si itaondsha ana mke au hana.

Hao wengine siwafahamu.
Hakuna genius yeyote duniani mwenye time na habari za ndoa.

Ndoa ni kwa ajili ya watu wenye ordinary mind, huwezi kufanya makubwa halafu ndani unafuga mambo wa makelele, huo utulivu utapata SAA ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…