FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huwa sikisii.Waarabu ndio wanaongoza kwa ubaguzi duniani na mambo ya kula Tigo ukitaka nikuwekee video zao hapa
Mimi nakuonesha hii moja ya Argentina, wewe onesha ya nchi ya Kiarabu, hivi kocha huyu ana mke?
Mahakama nchini Argentina imewatia hatiani makasisi wawili wa Kanisa Katoliki na aliyekuwa mtunza bustani wa shule ya wanafunzi viziwi inayosimamiwa na kanisa kwa makosa 28 ya unyanyasaji wa kingono na rushwa kwa watoto wadogo.
Soma zaidi na chanzo👇🏾
Catholic priests in Argentina sentenced to 45 years for child abuse
Court convicts two priests and former gardener at school for deaf students on counts of sexual abuse and corruption of minors