The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Tuishi kwa wema maana dunia tunapita. Tuache unafiki tuwe wakweli tudumishe upendo na utu tuwe watu wa haki, tuache kiburi, ubabe, ulevi wa madaraka na kujikweza maana duniani tunapita. wengi walionewa waziwazi na aliejiona Mungu mtu akajiita kiongozi wa malaika na wengine wakamshangilia katika uonevu wake.
- Kwa kuwadhulumu stahiki zao, kutoongeza mishahara watumishi na kuongeza makato kionevu kabisa ?, huku yeye akiogelea kwenye bahari ya anasa na mawaziri wake.
- kwa kuiba kura kibabe bila mchaea kweupe kura kweny mabegi ili atawale milele kama farao ?
- kwa kupiga watu risasi kinyama mchana kweupe ?
- kwa kupakazia watu kesi na kuwafunga kwa uonevu mf. Bendera, Nyangali nk.
- kwa kuvunja umoja wa kitaifa na kujenga ukabila huku akitamka hadharani kutopeleka maendeleo ukanda fulani kwakua walimnyima kura.
- kwa kua mbinafsi na kujijengea mahekalu na uwanja wa ndege kijijini kwake ? Huku akijiwekea mataa ya barabarani kijijini kwake ambapo barabara zinatumiwa na baiskeli tupu.
- Kwa kufumbia macho na hivyo kuchochea vitendo vya kudhihaki utu. Mf walimu kuchapwa fimbo matakoni hadharani daaaah jamani.
- kwa unyanganyi na kudhulumu watu. Mf. Wakulima wa korosho.
- kwa kujinasibu kupiga vita ufisadi huku pesa zikichotwa bila idhini ya bunge na kununua mindege na kutoweka wazi nyaraka za manunuzi, deni la taifa kuongezeka kuliko wakati wowote ule huku trilion 1.5 zikipotelea kusikojulikana.
- kwa kutukana watu na kuwadhalilisha hadharani. Mf "bakini na mavi yenu nyumbani" "wakinamama mpanuliwe wapi"
- kwa kuteka na kulazimisha makubaliano na watu wasio na hatia. Mf. Mo, Roma nk.
- kwa kuua watu. Mf. Watu kuokotwa kwenye fukwe wakiwa kwenye viroba.
- kwa kuahidi na kufurahia watu kuishi katika hali mbaya. Mf "mtaishi kama mashetani"
- kwa kuwafukuza wadogo zetu chuo pale UDOM huku akiwaita "vilaza" mkuu umesahau au unajisahaulisha ?!
-kwa kuminya uhuru wa watu kijieleza, kuongoza kidikteta bila kujali utu.
-kuharibu biashara za watu kwa makusudi kabisa. Mf. Kuchoma vifaranga moto vya wafanyabiashara kisa tu walivinunua Kenya na yeye haipendi Kenya.
- kwa kubomoa nyumba za watu kionevu bila fidia ?
- Kwa kujikweza na kua na kiburi hata kumdhihaki Mungu na kusema yeye ndo anafaa kuwaongoza malaika.
Hata waliosema anaumwa wakanamatwa na kufungwa wakati kweli alikua anaumwa daaaa aise !!
Unaweza kuniuliza je mjomba hakua na mazuri mbona nasema mbaya tu. Nami nitakuuliza hayo mazuri yana maana gani kama waliotakiwa kuyafurahia wanadhulumiwa, wanatukanwa na kudhihakiwa, wanatekwa, wanasingiziwa kesi na wengine wanauliwa ?! Hebu niambie hayo mazuri yalikua kwa ajili ya nani kama watu walikua wanaokotwa ufukweni kwenye viroba ?! Au Au mazuri hayo yalikua ni kwa ajili ya watu wake wachache akina Bashite ?!
Naamini vilio vya wengi walioonewa na kuumizwa vimemfika Mungu.. na Mungu akajibu maombi ya walioteswa, hata kwenye biblia mtawala mwonevu Ahabu alitesa watu, watu wakamlilia Mungu nae Mungu akajibu kwa kumua Ahab, tatizo watu hata hawasomi vitabu vya dini kuna mengi ya kujifunza.
Tujifunze jamani kua tutavuna matunda ya matendo yetu, ukipanda maembe huwezi kuvuna alizeti, ukipanda chuki utavuna chuki. Ukipanda upendo utavuna upendo ni swala la kanuni.
Biblia inasema muonevu anapokufa watu hupiga kelele. Na hili liwe fundisho kua ukiwa kiongozi usiwaonee watu ishi na waongoze kwa haki.
Wakujipendekeza wajipendekeze, wanafiki wasifie ila binafsi nawaonea huruma wale wote walio onewa na kudhulumiwa, kuteswa na hata kuuliwa ila sina huruma kwa mtesi wa watu aliejifanya Mungu mtu.
Je nafurahia kama wale wanaofurahia mjomba kufa? hapana, ila nasisitiza kua tuwe waadilifu na watenda haki na kilichotokea kiwe mfano rejea. Duniani tu wapitaji.