Tutenganishe matukio ya kimichezo, burudana na mambo ya siasa hasa kwenye kutoa tuzo

Tutenganishe matukio ya kimichezo, burudana na mambo ya siasa hasa kwenye kutoa tuzo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Waandaaji wa matamasha ya burudani na michezo mnaboa
Hasa katika kutoa tuzo
Mnaalika wanasiasa wasiokuwa na uelewa na masuala ya burudani ndo watoe tuzo
Hawawezi hata kutaja majina ya wasanii mfano
Chino wana man, s2kizzy, hip hop, rnb n.k
Wanaenda kwenye majukwaa kujipatia aibu ya hiari

Hivi kama ni tuzo za mziki unashindwa kumwarika kama profesa jay, lad jay dee, dj choka,JB n.k
Ndo muwaarike karibu wa wizara ya maji, sijui waziri wa katiba na sheria n.k wa Nini Sasa

Utashangaa tuzo ya top scorers anatoa waziri wa afya
Tuzo ya MVP anatoa mazuri wa mali asili
Hivi hapa nchini Kuna ma legend wangapi wa football akina chuji, Ngasa, Mgosi, Manara, Machupa, n.k
Kwanini msiwaalike hao

Tunaonaga matuzo huko ya michezo wanatoa akina na Ronaldo de Lima, Ronaldinho, Bekham, Zidane n.k


Kwenye Dunia huwezi kujua kila kitu, hao mawaziri, karibu wakuu, maofsa n.k wanaweza kuwa wanafanya vyema kwenye siasa na uongo lakini sio katika mambo ya burudani na michezo
 
Kwa navowajua watu wa JF hawachelewi kukwambia umecopy kutoka kwenye ukurasa wa Roma Mkatoliki ni vema ukam-acknowledge
 
Back
Top Bottom