SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

Tanzania Tuitakayo competition threads

Jeff1806

New Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi ya kufanya vitu kulingana na makubaliano na muktadha wa sheria.

Mfano tuwe na mazingira ya kutengeneza baraza la mawaziri ambalo sio la wanasiasa na kazi ya mbunge ibaki kwenye kuihoji serikali na sio mbunge mmoja anakuwa na mwamvuli wa serikali na bunge kwa wakati mmoja, hiyo inapunguza level ya uwajibikajina uwazi katika utendaji kazi.

Lakini pia tuwe na uongozi wa bunge hasa spika na timu yake ambaye pia hatokani na chama cha siasa ili kutengeneza uwiano mzuri wa kiutendaji na kufanya kazi bila kuhofia chama kitasemaje kuhusu hili.

Hivyo ni badhi ya vitu vinawvyoweza kutupeleka kwenye tanzania tuitakayo ya miaka kuanzia 15 mbele.
 
Upvote 3
Back
Top Bottom