Nikupe tu ushauri interview za tutorial assistant hazina formula maake job description iko wapi sana ila jiandae kwa kusoma vyote kuanzia module ya kwanza mpaka ya mwisho uliozosoma chuo. Halafu jiandae na presentation andaa topic yako moja kwenye mfumo wa ppt then utapresent kwenye oral na maswali mengi hutokea humo