Tuulizane juu ya usajili uliokamilika mpaka sasa Kati ya simba na Yanga

Tuulizane juu ya usajili uliokamilika mpaka sasa Kati ya simba na Yanga

mpiga vichwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
2,376
Reaction score
3,811
Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa.

Mpaka sasa simba imeshatangaza kukamilisha usajili wa wachezaji 2 Moses Phiri (Zanaco) na Habibu kyombo (Mbeya kwanza)

Yanga mpaka sasa imekamilisha usajili wa wachezaji 3 Lazalius Kambole (Orando Pirets) , Benard Morisoni( simba sc) na Bigilimana (.......).

Katika hizo sajili ;

SIMBA
Phiri magoli 14 (musimu 1)
Kyombo magoli 6(nusu musimu)
Jumla magoli 20

YANGA
Kombole magoli 2(misimu 2)
Morisoni magoli 0(musimu 1)
Bigilimana magoli 1 (misimu -----)
Jumla 3

Je, katika hizo sajili nani kapigwa ?
K
Karibu katika mjadala. Povu haliruhusiwi tafadhali.
 
Habibu kyombo alienda mamelody 2019 na hakucheza mchezo hata mmoja PSL
 
Hata ligi haijaanza unauliza nani kapigwa una akili kweli wewe? wacheni mihemko ndio mana wenzetu uchambuzi wa soka wanasomea sio blah blah za mitaani shwain
 
Timu inasajili Asec na Newcastle, nyingine inasajili Mbeya kwanza halafu inataka ishindane.
 
Hapo naona kuna mmoja kati ya kulwa na doto anasajili kwa mihemulko na mwingine ameingia ubaridi na kuongezea umakini kwa Yale ambayo huwa anakutana nayo anapokutana na wanaojua mpira
 
Nineamini JF siku hizi kuna mataahira mengi
Kama walamba viatu wa injinia
IMG-20220420-WA0001.jpg

View attachment 2286033
 
Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa.

Mpaka sasa simba imeshatangaza kukamilisha usajili wa wachezaji 2 Moses Phiri (Zanaco) na Habibu kyombo (Mbeya kwanza)

Yanga mpaka sasa imekamilisha usajili wa wachezaji 3 Lazalius Kambole (Orando Pirets) , Benard Morisoni( simba sc) na Bigilimana (.......).

Katika hizo sajili ;

SIMBA
Phiri magoli 14 (musimu 1)
Kyombo magoli 6(nusu musimu)
Jumla magoli 20

YANGA
Kombole magoli 2(misimu 2)
Morisoni magoli 0(musimu 1)
Bigilimana magoli 1 (misimu -----)
Jumla 3

Je, katika hizo sajili nani kapigwa ?
K
Karibu katika mjadala. Povu haliruhusiwi tafadhali.

Nanukuu Morrison goli 0 msimu 1" mwisho wa kunukuu.
Naomba nizungumzie upande wa michezo ya kimataifa msimu wa 2021/2022 kwa upande wa Simba, ilibebwa pakubwa sana na mchezaji Morrison.
Mechi ya Galaxy vs Simba magoli mawili ya Simba yalipatikana kwa mchango wa Morrison.
Mechi ya marudiano kwa Mkapa Simba walipata goli moja lilipatikana kwa mchango wa Morrison.

Mechi iliyofuatia ilikuwa dhidi ya red arrow, Simba walipata ushindi wa magoli matatu yaliyotokana ya jitihada za Morrison.
Mechi za makundi, Simba walianza na Mimosa na Morrison alichangia ushindi wa Simba. Mechi ya Berkane na USGN kwa Mkapa ni Morrison pia anahusika kwenye magoli ya Simba.
Mechi ya away dhidi ya USGN bila goli alilosawazisha Morrison Simba wasingefuzu robo fainali kwasababu wangemaliza wakiwa na point 9 tu.

Halafu Biligumana hakusajiliwa Yanga kwaajili ya kufunga kwasababu sio striker bali kiungo mkabaji.
 
Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa.

Mpaka sasa simba imeshatangaza kukamilisha usajili wa wachezaji 2 Moses Phiri (Zanaco) na Habibu kyombo (Mbeya kwanza)

Yanga mpaka sasa imekamilisha usajili wa wachezaji 3 Lazalius Kambole (Orando Pirets) , Benard Morisoni( simba sc) na Bigilimana (.......).

Katika hizo sajili ;

SIMBA
Phiri magoli 14 (musimu 1)
Kyombo magoli 6(nusu musimu)
Jumla magoli 20

YANGA
Kombole magoli 2(misimu 2)
Morisoni magoli 0(musimu 1)
Bigilimana magoli 1 (misimu -----)
Jumla 3

Je, katika hizo sajili nani kapigwa ?
K
Karibu katika mjadala. Povu haliruhusiwi tafadhali.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Back
Top Bottom