mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Wanaosajili mchezaji mwenye magoli 2 mechi 48 misimu miwili mkuuNani anateseka ?
#GuvuMoya
Kama unaona siyo poa kuhoji juu ya usajili Kabla ligi haijaanza , kwanini utopolo mnasema simba kapigwa kwa kyombo?Hata ligi haijaanza unauliza nani kapigwa una akili kweli wewe? wacheni mihemko ndio mana wenzetu uchambuzi wa soka wanasomea sio blah blah za mitaani shwain
Kutoka Newcastle mpaka Yanga, kweli Uto...mmeokota dodo chini ya mpera.Timu inasajili Asec na Newcastle, nyingine inasajili Mbeya kwanza halafu inataka ishindane.
Mkuu , Nkane , Feisal, mauya wametoka Asec ?Timu inasajili Asec na Newcastle, nyingine inasajili Mbeya kwanza halafu inataka ishindane.
Jibu hoja acha ngonjera kama mtoto wa kike we gongowazi.Nineamini JF siku hizi kuna mataahira mengi
Sawa. Unaelekea kwenye ukweliHapo naona kuna mmoja kati ya kulwa na doto anasajili kwa mihemulko na mwingine ameingia ubaridi na kuongezea umakini kwa Yale ambayo huwa anakutana nayo anapokutana na wanaojua mpira
Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa.
Mpaka sasa simba imeshatangaza kukamilisha usajili wa wachezaji 2 Moses Phiri (Zanaco) na Habibu kyombo (Mbeya kwanza)
Yanga mpaka sasa imekamilisha usajili wa wachezaji 3 Lazalius Kambole (Orando Pirets) , Benard Morisoni( simba sc) na Bigilimana (.......).
Katika hizo sajili ;
SIMBA
Phiri magoli 14 (musimu 1)
Kyombo magoli 6(nusu musimu)
Jumla magoli 20
YANGA
Kombole magoli 2(misimu 2)
Morisoni magoli 0(musimu 1)
Bigilimana magoli 1 (misimu -----)
Jumla 3
Je, katika hizo sajili nani kapigwa ?
K
Karibu katika mjadala. Povu haliruhusiwi tafadhali.
Makolo wengi wana matatizo ya afya ya akili.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa.
Mpaka sasa simba imeshatangaza kukamilisha usajili wa wachezaji 2 Moses Phiri (Zanaco) na Habibu kyombo (Mbeya kwanza)
Yanga mpaka sasa imekamilisha usajili wa wachezaji 3 Lazalius Kambole (Orando Pirets) , Benard Morisoni( simba sc) na Bigilimana (.......).
Katika hizo sajili ;
SIMBA
Phiri magoli 14 (musimu 1)
Kyombo magoli 6(nusu musimu)
Jumla magoli 20
YANGA
Kombole magoli 2(misimu 2)
Morisoni magoli 0(musimu 1)
Bigilimana magoli 1 (misimu -----)
Jumla 3
Je, katika hizo sajili nani kapigwa ?
K
Karibu katika mjadala. Povu haliruhusiwi tafadhali.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.