Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

Natamani nipasue miti yangu , niweke mbao zangu dawa na nizipeleke sokoni dsm au mikoa mingine, je nikifanya hivyo nitaweza kupata faidi zaidi kuliko kuuza miti?
 
Unaweza kuingia gharama zisizo za msingi mkuu.
Mambo ya vibari
Madalali
Usafri

Nawaza tu..lkn itategemea umachanganua vipi mambo kupunguza gharama na kuongeza faida
 
Asante Mkuu, Generally nina eka tatu za miti ya kuvuna nilitamani nipate faida kutokana na kuvuna ndio maana natafuta option za kumaximize, maana hawa wanunuzi wa miti wao wananunua mti mmoja 10k ambao ninauhakika unaweza toa mbao zaidi ya 20
 
Shamba liko wapii boss??
 
Mkuu, hivi ubao wa mkaangazi ni moja katika mbao ngumu na hauliwi na wadudu kama mchwa na je unafaa kutengenezea fremu zaadirisha?
 
Heri ya mwezi mpya,

Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi.

Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi wa majengo na baadhi ya miundombinu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa bado hutegemea mbao kama mojawapo ya nyenzo muhimu.

Je, unawezaje kutambua mbao nzuri, imara na zinazofaa kwa mradi anuai?

Tumekuja JamiiForums kujuzana na kuepusha hasara ambayo wadau wa ujenzi hukumbana nazo, yakiwemo makampuni na watu binafsi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha.

Tutajibu maswali yote tutakayoyamudu kwa wakati.

Karibuni sana.

Naitaji kujenga frame ya square meter 40 yenye partition mbili, mbao za aina Gani na kiasi Gani ninaitajika kununua na makadilio ya Gharama adi ujenzi yanaweza fikia bei gan?
 
Back
Top Bottom