Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Siku hizi dunia ni digital.

Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana.

Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni tatu.

1. Tujadili muundo wa chama.
2. Siasa/ideology ya chama
3. Jina la chama.

Karibuni.
 
Unajadilia JF halafu unawaza kwenda istagram, facebook na twiter, tukisema JF ni bora sana, ukilinganisha na ulikokutaja tutakuwa tumekosea🏃.
 
Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana.

Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni tatu.

1. Tujadili muundo wa chama.
2. Siasa/ideology ya chama
3. Jina la chama.

Karibuni.
Nimekubali hoja
 
Nadhani kwenye chama hiki tuwe na majina halisia!!!... Kwasababu tunaweza kuwa na ushawishi mkubwa na kushiriki kwenye Ujenzi wa Taifa moja Kwa moja
 
Ni wazo zuri ila sijui kama sheria za nchi zinaruhusu icho kitu, kwasababu sijawahi kusikia chama cha mitandaoni na malengo yake hasa nini?? Kushika dola ama ukosoaji na upongezaji tu.?

Labda ungesema chama kianzie mtandaon/ kianze kutafuta wanachama mitandaoni.
 
Tukianza hapa ndio tutoke njee!!!....
 
Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana.

Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni tatu.

1. Tujadili muundo wa chama.
2. Siasa/ideology ya chama
3. Jina la chama.

Karibuni.
Chama kipo siku nyingi Sana Ni Saccos ya Chadema .
 
Ni wazo zuri ila sijui kama sheria za nchi zinaruhusu icho kitu, kwasababu sijawahi kusikia chama cha mitandaoni na malengo yake hasa nini?? Kushika dola ama ukosoaji na upongezaji tu.?

Labda ungesema chama kianzie mtandaon/ kianze kutafuta wanachama mitandaoni.
Kwa sababu ni kitu ambacho hakijawahi kuwepo ndiyo maana nikaweka swala namba moja ni muundo wa chama. Hapa tuone kitakuwaje hasa. Lengo kuu ni kuunda sera bora za kuendesha nchi na lengo la pili ni kushika madaraka. Lengo si kukosoa na kupongeza. Pengine baada ya muda itatupasa kusajili lakini kwa sasa kiwe ni virtual political party.
 
Pamoja mkuu ni kuliongezea nyama tu hilo suala.
 
Mimi nitajitolea kutengeneza platform yote ya chama, kuanzia website mpaka Android app.

Apart from that nitatengeneza platform nzima kama jinsi ilivyo jf, but itakuwa advanced zaidi na kuruhusu wanachama tu ku login na discussions mbali mbali wengine wakibaki kusoma.

Thanks..
Am seriously on this kama mpo tayari..
 
Hili suala ni serious. Na hilo suala umelitoa ni zuri sana, chama kuwa na platform yake. Hilo litakuwepo wakati wakufanyia kazi muundo wa chama.
 
Wakuu nafikiri kuwa kitu cha kwanza kinachofanya chama kuwa chama ni ideology au siasa/sera ya chama. Karibuni tuunde ideology ya chama.
 
Back
Top Bottom