Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakusoma mkuuFaida
1.
2.
3.
4.
5
Tuendelee
Unafikiri chama chetu kiwe cha namna gani. Sera zetu ziwe nini?Mwenyekiti awe mmawia
[emoji23][emoji23][emoji23]
faida za siasa za mtandaoni ni zipi?Sijakusoma mkuu
Watu waliopo mashinani hata mitandaoni wapo.faida za siasa za mtandaoni ni zipi?
maana kutwaa Dola yapasa kazi za mashinani
insha'AllahWatu waliopo mashinani hata mitandaoni wapo.
Na kuongezea. Lengo kuu la chama cha siasa ni kuunda sera na kuona zinatekelezwa. Kushika madaraka ni njia tu ya kukiwezesha chama kutekeleza sera zake. So ishu ya kushika madaraka isikuumize sana kichwa, ni muhimu lakini si lazima kwa chama kufanya sera zake zitekelezwe.insha'Allah
Chama cha siasa bila lengo la kushika Dola ni sawa na mwanaume anayechumbia bila lengo la kuoa.Na kuongezea. Lengo kuu la chama cha siasa ni kuunda sera na kuona zinatekelezwa. Kushika madaraka ni njia tu ya kukiwezesha chama kutekeleza sera zake. So ishu ya kushika madaraka isikuumize sana kichwa, ni muhimu lakini si lazima kwa chama kufanya sera zake zitekelezwe.
Kushika madaraka ni muhimu ila ni means to an end. Mi nadhani nadharia nzima ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni upotoshaji. Chama kikishashika madaraka nini kinafuatia? Kutekeleza sera zake. kumbe hili ndilo lengo kuu. Kwa namna hiyo, hata kisiposhika madaraka na kikawa na nguvu na sauti ya kutosha kinaweza fanya sera zake kutekelezwa.Chama cha siasa bila lengo la kushika Dola ni sawa na mwanaume anayechumbia bila lengo la kuoa.
Hey, enjoy the remaining period of 2021. Ciao!
Utakua kama mbwa tu!!!.. Huwezi kuwa na Nguvu alafu usiwe na Mamlaka!!!....Kushika madaraka ni muhimu ila ni means to an end. Mi nadhani nadharia nzima ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni upotoshaji. Chama kikishashika madaraka nini kinafuatia? Kutekeleza sera zake. kumbe hili ndilo lengo kuu. Kwa namna hiyo, hata kisiposhika madaraka na kikawa na nguvu na sauti ya kutosha kinaweza fanya sera zake kutekelezwa.
Kushika madaraka ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia rahisi zaidi kwa chama kutekeleza lengi lake kuu.
Tanzania kuna vyama vya upinzani vina nguvu au vimewahi kuwa na nguvu kama CDM, CUF na sasa ACT lakini havikushika madaraka. Unataka kusema vyama hivyo ni kamq mbwa?Utakua kama mbwa tu!!!.. Huwezi kuwa na Nguvu alafu usiwe na Mamlaka!!!....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama gani kina Nguvu na kinatoa maelekezo kwenye serikali?!!!.. Hivi vyama ni kama mbwa yes!!!...Wewe unaonaje?Tanzania kuna vyama vya upinzani vina nguvu au vimewahi kuwa na nguvu kama CDM, CUF na sasa ACT lakini havikushika madaraka. Unataka kusema vyama hivyo ni kamq mbwa?
Labda kwa sasa, lakini mfano CDM kikipokuwa kinavalia njuga sera za ufisadi kilikuwa na nguvu sana. Hadi waziri mkuu alianguka. Kilipokuwa na nguvu kikishinikiza mambo mengi sana na yakafanyika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama gani kina Nguvu na kinatoa maelekezo kwenye serikali?!!!.. Hivi vyama ni kama mbwa yes!!!...Wewe unaonaje?
Kwani tuko 2000 au 2021 kwenda 2022Labda kwa sasa, lakini mfano CDM kikipokuwa kinavalia njuga sera za ufisadi kilikuwa na nguvu sana. Hadi waziri mkuu alianguka. Kilipokuwa na nguvu kikishinikiza mambo mengi sana na yakafanyika.
unateseka mkuu.Kushika madaraka ni muhimu ila ni means to an end. Mi nadhani nadharia nzima ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni upotoshaji. Chama kikishashika madaraka nini kinafuatia? Kutekeleza sera zake. kumbe hili ndilo lengo kuu. Kwa namna hiyo, hata kisiposhika madaraka na kikawa na nguvu na sauti ya kutosha kinaweza fanya sera zake kutekelezwa.
Kushika madaraka ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia rahisi zaidi kwa chama kutekeleza lengi lake kuu.