Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

insha'Allah
Na kuongezea. Lengo kuu la chama cha siasa ni kuunda sera na kuona zinatekelezwa. Kushika madaraka ni njia tu ya kukiwezesha chama kutekeleza sera zake. So ishu ya kushika madaraka isikuumize sana kichwa, ni muhimu lakini si lazima kwa chama kufanya sera zake zitekelezwe.
 
Chama cha siasa bila lengo la kushika Dola ni sawa na mwanaume anayechumbia bila lengo la kuoa.

Hey, enjoy the remaining period of 2021. Ciao!
 
Kushika madaraka ni muhimu ila ni means to an end. Mi nadhani nadharia nzima ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni upotoshaji. Chama kikishashika madaraka nini kinafuatia? Kutekeleza sera zake. kumbe hili ndilo lengo kuu. Kwa namna hiyo, hata kisiposhika madaraka na kikawa na nguvu na sauti ya kutosha kinaweza fanya sera zake kutekelezwa.

Kushika madaraka ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia rahisi zaidi kwa chama kutekeleza lengi lake kuu.
 
Utakua kama mbwa tu!!!.. Huwezi kuwa na Nguvu alafu usiwe na Mamlaka!!!....
 
Tanzania kuna vyama vya upinzani vina nguvu au vimewahi kuwa na nguvu kama CDM, CUF na sasa ACT lakini havikushika madaraka. Unataka kusema vyama hivyo ni kamq mbwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama gani kina Nguvu na kinatoa maelekezo kwenye serikali?!!!.. Hivi vyama ni kama mbwa yes!!!...Wewe unaonaje?
 
Labda kwa sasa, lakini mfano CDM kikipokuwa kinavalia njuga sera za ufisadi kilikuwa na nguvu sana. Hadi waziri mkuu alianguka. Kilipokuwa na nguvu kikishinikiza mambo mengi sana na yakafanyika.
 
Kushika madaraka ni muhimu ila ni means to an end. Mi nadhani nadharia nzima ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni upotoshaji. Chama kikishashika madaraka nini kinafuatia? Kutekeleza sera zake. kumbe hili ndilo lengo kuu. Kwa namna hiyo, hata kisiposhika madaraka na kikawa na nguvu na sauti ya kutosha kinaweza fanya sera zake kutekelezwa.

Kushika madaraka ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia rahisi zaidi kwa chama kutekeleza lengi lake kuu.
unateseka mkuu.

Tuseme Kwa kimombo iwe rahisi.

The objective is....
The purpose is...
The goal is...
watani zangu Wanyakyusa wanasema koma ku mwanya Basi.

Mtazamo wa mchakato ndio umeifanya Tanzania iwe ilivyo leo...Hailipi asilani
 
Back
Top Bottom