Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

Sawa. Nayaheshimu mawazo yako. Kikubwa mfumo wa Sasa ubadilike
 
Tulikuwa na baba wa taifa. Kila jambo lisilompendeza alilipinga.
Kifupi alizitesa sana serikali za Mwinyi na Mkapa.
Tusije tukarudia tena kosa la kuwa na non elected official aliye juu ya raisi.
 
Sitaki.
 
Kweli wewe ni mpumbavu.

Hiyo sasa ndio kazi ya BUNGE.
 
Hivi wewe humo kichwani una ubongo au una kyuma?
 
Kweli wewe ni mpumbavu.

Hiyo sasa ndio kazi ya BUNGE.
Bunge la Tanzania linaweza kupinga alichoamua rais na baraza lake la mawaziri?

Bunge linaweza kumuondoa rais madarakani? Unajua mchakato wake ulivyokaa kikatiba ni sawa na danganya toto?
 
Naona CCM mnazidi kubuni ulaji tu watoto wenu wazidi kuishi kama peponi.

Kuna maisha baada ya haya, na mtaulizwa 😊
 
Hizo sifa mkuu hazitoshi kabisa,na niweke wazi, Kikwete hana sifa kimaadili ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi.Pamoja na nyingine nyingi,lakini maadili mazuri lazima iwe sifa ya kwanza.Ili kuweza kupata mtu wa namna hiyo,ni lazima ifanyike sample survey kwenye main religions:Ukristo na Uislam, ili kuona ipi dini ina maadili mazuri zaidi,than from that religion, atoke kiongozi huyo.

Idadi ya Washauri is debatable,lakini hao pia ni lazima wawe na moral values zinazokubalika,hiyo iwe sifa ya kwanza.

Ni kweli kwa sasa inaonekana kama Rais ana too much power na ni kama kuna vurugu ya aina fulani hivi,na hii sio afya Kwa Taifa.Ni wazi we need some moderation in the Presidents' powers.Samia anayofanya can even cost us politically.Hapana, Rais hawezi kufukuza hovyo hovyo namna hii.

Wazo lako ni zuri,ila we can coin another name,sio Ayatollah,naamini jina hilo ni affiliated to Islam na lina maana kwenye Uislam.Kiongozi huyo tunaweza tukamuita Rais,halafu mtendaji mkuu wa nchi akawa Waziri Mkuu,kama ilivyo in some countries around the World.
 
Demokrasia yenyewe wala haifuatwi. Chaguzi fake, wagombea wa kupangwa na kupandwa. Naona bora tuwe na wazee wa busara tu
Hivi mmeshindwa kuelewa kabisa kuwa democracy ni kitu hewa,na is a NWO tool for control.Jamani democracy ingekuwa real,Wamarekani ambao ndio waanzilishi wa concept hiyo wangekuwa na democracy,sasa mbona hakuna?Frankly kama mtu unaona Marekani kuna democracy,basi you are likely a loon.
 
Kinachotakiwa ni Karibu mpya nzuri. Huyo kiongozi anaweza pia kuwekwa mfukoni. Kwa katiba ya sasa Rais is too powerful to be subjugated to any one person or an institution
 
Marekani kuna democracy ambayo hutaiona popote Duniani, jipange uende siku moja then utatupa mrejesho.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
hahahahahahah
 
Ujinga
 
Marekani kuna democracy ambayo hutaiona popote Duniani, jipange uende siku moja then utatupa mrejesho.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mimi si mgeni kabisa Marekani mkuu naijua.Kujua kwamba Marekani hakuna democracy,angalia tu Rais wa Marekani anachaguliwa na nani,the Electoral College.Rais wa Marekani hachaguliwi na popular vote,deligates waliopo kwenye Electoral College ndio wanaomchagua Rais wa Marekani.Fuata link ifuatayo uone utapeli huo
Voting in the US is just a formality,kuwadanganya Wamarekani kuwa wanamchagua Rais,lakini si kweli.Na hawa deligates ni akina nani.Hawa ni selected individuals in each state who represent the establishment,not the people.So kama mahali watu hawachagui viongozi wao kuna the so called democracy kweli hapo,there isn't,ni utapeli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…