Ni tatizo sugu... we angalia hata aina ya coments za baadhi ya wanawake kwenye hii post... MTU ANASEMA WIN WIN SITUATION....!!! (cc
Mrs Van ). Hiyo win win situation kwa mara zote 12 kwa mwaka mzima? Na ni mpaka lini? Na ndiyo maana, mwanamke akiwa na pesa, madaraka au elimu kubwa baadhi yao huwa ni kazi sana kuishi nao kwenye jamii na hata kuolewa, na hasa kama vitu hivyo amevipata kabla hajaolewa... Wakiwa na hivyo, baadhi yao huwa wana-abuse normal system. Na wengine huenda mbali zaidi kwa kusema, MIMI KWA VILE NNA HIVI VYOTE, NTAWALIPIZIA VISASI WANAWAKE WENGINE WOTE...