Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ila ni nadra sana kwa mtoto wa kike aliyekuzwa vema akawa anategemea kutiwa ili apate hela ya pads.Kwenye kujiju hapo haina soluhisho kwenye uwezo wa kununua pedi..!! Yaani ajiju asijiju, bado, kama kununua pedi ni hadi mtu anyanduliwe ujuwe hapo kuna tatizo..!! ingawa mna majibu ya nyodo, ila ukweli ndo huo.. Ni kujidhalilisha
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app