Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushamba wewe, ligi zote kubwa duniani tunacheki kupotia link mitandaoni bila kujalisha tuna dstv wala nini. Wadau wanalalamikia kwanini wanaondoa channel za mpira wakati gemu inakaribia kuanza?? Kama wanataka watu walipie kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka watu walipie?Yani mnafanyiwa free bila kujali una kisimbuzi chao au la bado mnabwabwaja ukuda?
.
DSTV, SKY SPORTS na SATARTIMES bila kuwa na namba ya kadi ya kisimbuxi chako sahau kuona chochote kwenye app zao!
.
Huoni kama huo ni upunjaji mkubwa sana wengine walipie kifurushi Azam Tv ili kutazama mechi wewe utazame bure kwa kununua MB za Voda? Hivi hiyo ni akili au matope
Soon hamtaipata kabisa kama huna namba za kadi hutaweza kuingia na kama hujalipia kisimbuzi hutaona chochote
Ushamba ni nini?Acha ushamba wewe, ligi zote kubwa duniani tunacheki kupotia link mitandaoni bila kujalisha tuna dstv wala nini. Wadau wanalalamikia kwanini wanaondoa channel za mpira wakati gemu inakaribia kuanza?? Kama wanataka watu walipie kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka watu walipie?
trueAzam wapuuzi sana
kwa hiyo wewe ndiyo huduma kwa wateja wa Azam na majibu yako ya jalalaniUshamba ni nini?
Ungekuwa mjanja si ungeangalia kwa njia yoyote sasa hata kwa kuidukua mpaka unalalamika hapa inamaana wewe ni ngumbaru tu
.
Umeuliza kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka watu walipie, majibu nimeshayatoa soon app itaanza kuhitaji smart card namba ya kisimbuzi chako ndipo upate access ya kuona na sio kuona bure uwe umelipia kisimbuzi chako.
Na wewe ndio mteja wetu mwenye maswali ya choo cha shule?kwa hiyo wewe ndiyo huduma kwa wateja wa Azam na majibu yako ya jalalani
Ndio maana kampuni nyingi za Kitanzania hazifanyi vyema kwa kuwa na wafanyakazi incompetent kama huyu jamaa.kwa hiyo wewe ndiyo huduma kwa wateja wa Azam na majibu yako ya jalalani
Siyo kweliYani mnafanyiwa free bila kujali una kisimbuzi chao au la bado mnabwabwaja ukuda?
.
DSTV, SKY SPORTS na SATARTIMES bila kuwa na namba ya kadi ya kisimbuxi chako sahau kuona chochote kwenye app zao!
.
Huoni kama huo ni upunjaji mkubwa sana wengine walipie kifurushi Azam Tv ili kutazama mechi wewe utazame bure kwa kununua MB za Voda? Hivi hiyo ni akili au matope
Soon hamtaipata kabisa kama huna namba za kadi hutaweza kuingia na kama hujalipia kisimbuzi hutaona chochote
Nini sio kweli?Siyo kweli