Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Startimes wana station Za bure nyingi tu. Pia zipo app nyingi kama bein unaangalia tv 📺 bure.Nini sio kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Startimes wana station Za bure nyingi tu. Pia zipo app nyingi kama bein unaangalia tv 📺 bure.Nini sio kweli?
Wahuni hao kama channel inaonyesha mpira wanaiondoa mpaka ulipie labda ndio wanaweza wakawa hawafanyi hivyo.Nipo kwenye gari safarini kuelekea Mbeya nikaamua kununua zangu GB5 za internet ili niweze kuangalia mechi ya watani zangu Yanga Vs Zesco, ila ghafla bin vuu hawa Azam Wameamua kuiondoa chaneli yao inayoonesha mechi hiyo mubashara Azam Sports 2.
Hakika nimesononeka sana kwani naona sasa Safari inaanza kuwa ndefu na nimeghafirika mno. This isn't fair, they should inform us earlier before kuliko kupoteza malengo ya pesa zetu kwa kununulia all these useless GB's.
NB: Nime-Uninstall App yao, daadeki. Tuungane kuipoteza hii App ya hawa washamba.
Aisee.. Mambo ni yente...Fala babaako aliyeshindwa kukufunza nidhamu. Gay wewe!!!
naomba nitajie chache please!Startimes wana station Za bure nyingi tu. Pia zipo app nyingi kama bein unaangalia tv 📺 bure.