Tuungane kuupinga uonevu wa AzamTv App katika masuala ya kuonesha mechi za soka.

Hii app ya azam noanaga mauza uza bora waweke chane zisizo za mpira wanazingua sana hasa kwa mechi kubww
 
Acha ushamba wewe, ligi zote kubwa duniani tunacheki kupotia link mitandaoni bila kujalisha tuna dstv wala nini. Wadau wanalalamikia kwanini wanaondoa channel za mpira wakati gemu inakaribia kuanza?? Kama wanataka watu walipie kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka watu walipie?
 
Ushamba ni nini?
Ungekuwa mjanja si ungeangalia kwa njia yoyote sasa hata kwa kuidukua mpaka unalalamika hapa inamaana wewe ni ngumbaru tu
.
Umeuliza kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka watu walipie, majibu nimeshayatoa soon app itaanza kuhitaji smart card namba ya kisimbuzi chako ndipo upate access ya kuona na sio kuona bure uwe umelipia kisimbuzi chako.
 
kwa hiyo wewe ndiyo huduma kwa wateja wa Azam na majibu yako ya jalalani
 
Wafanye kama dstv now..walink app na smartcard then mtu ataweza kucheki mpira hata akiwa mbali na nyumbani as long as amesubscribe kwenye kifurushi kinachohitajika
 
Azam hii ni fursa...wekeni utaratibu wa kulipia App
Jamaa hawako updated na fursa za kupiga hela..walipaswa waweke utaratibu wakulipia hiyo App yao..sisi hatuna neno..
 
Siyo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…