Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Boss sii vyema kuwasema viongozi wetu tena kwa kuwataja majina. Tujadili zaidi baada bila kuwasema viongozi wetuSasa kama kuna Business Potential zote hizo,kwanini Waziri na wataalaamu wake hawawaelimishi Watanzania?Yeye Makamba aliona kufanya Marketing ya mitungi ya Gesi ya Taifa gas ndiyo Jambo la maana.
Hiyo namba tatu boss, gharama utakazo okoa kwa kutumia mfumo wa gesi zinazidi hiyo millioni mbili.Nimesikia hiyo na mwekezaji alikuwa teyar kuwekeza huko issue ikaja kwanza cng haitakiwi kusafirishwa zaidi ya km 200 kwa hapa kwetu maana yake ukizidisha hizo km unaanza kuhesabu hasara.
Pili even hupatikanaji wa cng ni wa foleni hatuna vifaa vinavyoweza kujaza tank hizo kwa haraka.
Tatu gharama still ni kubwa mfano kuwega mtungi mkubwa wa gas kwenye garu ni kuanzia 2 million imagine..
Hiyo sa kusafirisha km 200 unamaanisha kwa njia ipi kwa gari au kwa bomba? Nilizungumzia mobile CNG, inawekwa kwenye gari maalumu lenye kituo cha kujaza gesi mojamoja kwenye magari mengine. Hilo gari linakua na tenki lenye CNG linazunguka mtaani na mikoani kusambaza hiyo CNG.Nimesikia hiyo na mwekezaji alikuwa teyar kuwekeza huko issue ikaja kwanza cng haitakiwi kusafirishwa zaidi ya km 200 kwa hapa kwetu maana yake ukizidisha hizo km unaanza kuhesabu hasara.
Pili even hupatikanaji wa cng ni wa foleni hatuna vifaa vinavyoweza kujaza tank hizo kwa haraka.
Tatu gharama still ni kubwa mfano kuwega mtungi mkubwa wa gas kwenye garu ni kuanzia 2 million imagine..
Swala la vifaa vya kujaza CNG nadhani hapo wanazungumzia compressor machine. Nadhani hapo lipo kwenye upande wa uwekezaji tu. Mwekezaji akipatikana hilo tatizo linatatulika kabisa.Nimesikia hiyo na mwekezaji alikuwa teyar kuwekeza huko issue ikaja kwanza cng haitakiwi kusafirishwa zaidi ya km 200 kwa hapa kwetu maana yake ukizidisha hizo km unaanza kuhesabu hasara.
Pili even hupatikanaji wa cng ni wa foleni hatuna vifaa vinavyoweza kujaza tank hizo kwa haraka.
Tatu gharama still ni kubwa mfano kuwega mtungi mkubwa wa gas kwenye garu ni kuanzia 2 million imagine..
Shida ni lile jini kuu ccm,nadhani Mwigulu angekuwa smart kama angesema kazi ya Tozo ni hii ya kitaifa hata kichaa angemuelewa hata mwendo kasi ni muda sasa itumie umeme na sio mafuta tunataka madiliko ya kimazingira na ki mkakati,Kazi ya hawa akina Mbowe iwe kuhamasisha mapinduzi ya kiuchumi na sio kukimbizana na mwizi wasiemjua eti katiba katiba wapi wakati mmeona urusi imevamia taifa mchana kweupe na hakuna aliezuia ccm inatawala kimabavu ni muda sasa wa kuja na plan B.Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo:
1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas).
# 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG filling stations in the cities).
# 3. Vituo vya kubadilisha injini za magari yanayotumia Petrol au dizeli yatumie gesi iliyoshindiliwa (CNG) (Stations for Conversion of gasoline and diesel engines to run on compressed natural gas (CNG).
Haya mambo yote yanawezekana tukiunganisha nguvu ya kuwatafuta wawekezaji ndani na nje ya nchi. Sisi wenyewe tunaweza kuwekeza.
Wapo watu wenye mitaji ila pengine hawana taarifa juu ya haya na hawana elimu ya kutosha.
Mimi najua mtu mwenye kituo cha kujaza mafuta hawezi shindwa kuanzisha kituo cha kujaza gesi iliyoshindiliwa kwenye magari (CNG).
Watanzania tuungane katika hili tusiisubiri serikali pekee na sisi tushiriki.
Mimi nilikua natamani niwe hata na mobile fuel stations wala hazina gharama kuwa kuna hadi za milioni 30-50.
Pia tuishauri serikali kuhusu CNG stations. Waruhusu watu kuwekeza kwenye mobile CNG stations.
View attachment 2376433View attachment 2376434View attachment 2376435
Na sio kupatikana ni wakati wa hawa so called samia scholarship waelekezwe kwenye viwanda kwa ajiri ya Kazi hiyo ili kuleta ufumbuzu wa hili Jambo pekee napenda nchi ipige hatua kwa tozo ila kwa vitu muhimu kama hivi.Swala la vifaa vya kujaza CNG nadhani hapo wanazungumzia compressor machine. Nadhani hapo lipo kwenye upande wa uwekezaji tu. Mwekezaji akipatikana hilo tatizo linatatulika kabisa.
Charity starts at home,wewe umeanza kuwekeza kubadili mifumo ya magari au mobile refilling ulizotaja wapi?Fursa ni wazo.Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo:
1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas).
# 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG filling stations in the cities).
# 3. Vituo vya kubadilisha injini za magari yanayotumia Petrol au dizeli yatumie gesi iliyoshindiliwa (CNG) (Stations for Conversion of gasoline and diesel engines to run on compressed natural gas (CNG).
Haya mambo yote yanawezekana tukiunganisha nguvu ya kuwatafuta wawekezaji ndani na nje ya nchi. Sisi wenyewe tunaweza kuwekeza.
Wapo watu wenye mitaji ila pengine hawana taarifa juu ya haya na hawana elimu ya kutosha.
Mimi najua mtu mwenye kituo cha kujaza mafuta hawezi shindwa kuanzisha kituo cha kujaza gesi iliyoshindiliwa kwenye magari (CNG).
Watanzania tuungane katika hili tusiisubiri serikali pekee na sisi tushiriki.
Mimi nilikua natamani niwe hata na mobile fuel stations wala hazina gharama kuwa kuna hadi za milioni 30-50.
Pia tuishauri serikali kuhusu CNG stations. Waruhusu watu kuwekeza kwenye mobile CNG stations.
View attachment 2376433View attachment 2376434View attachment 2376435
Mimi kwasasa nipo kwenye gesi ya kupikia. Hapa ndipo nilipowekeza boss. Karibu sana utumie gesi ya M-Gas. Unajinunulia gesi kuanzia ya 1000 Tsh, kupitia MPESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY au HALOPESA.Charity starts at home,wewe umeanza kuwekeza kubadili mifumo ya magari au mobile refilling ulizotaja wapi?Fursa ni wazo.
wawekezaji hawawezi kuja maeneo ambayo kuna vitisho na viashiria vya ugaidi.Leo tunaongelea uwekezaji na sio kuwasema viongozi tena.
Mwekezaji anaweza kuwa ni mimi nawewe.wawekezaji hawawezi kuja maeneo ambayo kuna vitisho na viashiria vya ugaidi.
sosi: Jeshi la polisi
KaribuHakika...
Ziko wapi boss hizo tuzione.Hizo mobile fuel station mbona zipo
Sema watu wanazipeleka ndani ndani huko
Ova
Leo tunaongelea uwekezaji na sio kuwasema viongozi tena.
Boss usiseme hivyo, wawekezaji mbona wanakuja wengi tu.Utaleta mwekezaji gani kwenye nchi ambayo sheria zinafuatwa kwa utashi wa rais aliyeko madarakani?
Wawekezaji ni mimi na wewe boss.wawekezaji hawawezi kuja maeneo ambayo kuna vitisho na viashiria vya ugaidi.
sosi: Jeshi la polisi