TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Halafu wana pisi mbovu tofauti na nchi nyingine za Polynesia wanazidiwa kwa mbali sana na wale wenzao wa MicronesiaTuvalu ni nchi ambayo hautakiwi kuwa na visa ili uingie. Lakini pia ni nchi inayopata wageni wachache sana.
- Ndege za kwenda huko ni adimu sana
- Nchi haipokei credit card
- Nchi nzima haina ATM 🏧 machines
- Nchi nzima kuna Hotel moja tu na guest Houses chache sana