TUVALU:- Nchi iliyopo hatarini kumezwa na bahari.

TUVALU:- Nchi iliyopo hatarini kumezwa na bahari.

Taratibu za kufika hapo tupeni likizo moja tujilipue tukaache copy tuvalu..inaonekana vitu Bei sio ghali
 
Mkuu hao ni selected models bwana.

Kweli ni wakali, lakini ungeliweka picha iliyochukuliwa sokoni kamchanganyikeni uone!

Wana sura za kiChina, labda tuseme kama unapenda mshepu wa kichina hapo sawa, ni wazuri kinamna yao.
Wee umeshawahi kwenda huko?
 
Back
Top Bottom