ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mkuu hao ni selected models bwana.Labda kama huwajui mademu wakali.
View attachment 2062082
View attachment 2062085View attachment 2062089View attachment 2062091
Wee umeshawahi kwenda huko?Mkuu hao ni selected models bwana.
Kweli ni wakali, lakini ungeliweka picha iliyochukuliwa sokoni kamchanganyikeni uone!
Wana sura za kiChina, labda tuseme kama unapenda mshepu wa kichina hapo sawa, ni wazuri kinamna yao.
Niende wapi mkuu?Wee umeshawahi kwenda huko?
Swali muhimu sana.Kuna mamantilie kweli huko ?
Au tukienda itatubidi tubebe "indyali" kutoka Kiwira sokoni, tukifika tutaazima masufuria tu kwa wenyewe ?
AsanteLabda kama huwajui mademu wakali.
View attachment 2062082
View attachment 2062085View attachment 2062089View attachment 2062091