Hapo sasa! Ila mimi naamini huo siyo ushamba, bali ni utamaduni wao. Wasukuma hivyo hivyo, waheshimiwe kwa lifestyle yao;kula sana, kufanya kazi sana na kupenda kuongea kilugha chao hata kama wako Paris.Kwahiyo na Wamasai kuishi kwenye tamaduni zao ni ushamba?!
Dudukeee n star wao mzee...Imekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya utajiri mkubwa sana wa lugha zaidi ya 1000 zinazopatikana ndani ya bara letu la Afrika.
Lakini katika video hizi zipo video ambazo zinaonesha namna watu kadhaa wakiwapatia Wahadzabe vitu ambavyo kwao ni vigeni kabsa. Vitu kama Pombe kali, Sigara pamoja na Vyakula vilivyosindikwa kama Burger, na vingine.
Hii imetokana na mwingiliano mkubwa kati ya Wahadzabe na watu kutoka nje ya jamii yao. Wengi wakiwa ni watalii, watafiti na hata mashirika yasiyo ya kiserikali wamekuwa wakiwafikia kwa madai ya kuwasaidia.
Watu hawa huwapelekea dawa za kisasa, vyakula vilivyotengenezwa viwandani (vilivyosindikwa) pombe, na hata kuwafundisha kuhusu “maisha ya kisasa.” Kwa mtazamo wa haraka, inaweza kuonekana kama msaada mzuri, lakini kwa undani, huu ni mwanzo wa kuangamia kwa utamaduni wa Wahadzabe.
Kwa kuingiza vitu hivi vya kigeni katika maisha ya Wahadzabe, tunaharibu mfumo wao wa maisha wa asili kabsa, tunapunguza thamani ya maarifa yao ya jadi, na kuwafanya waone kana kwamba maisha yao si bora. Pombe na vyakula vya kisasa vimeanza kuleta madhara ya kiafya na kijamii, huku watoto wa Kihadzabe wakianza kupoteza mawasiliano ya moja kwa moja na mila na lugha yao.
Zipo video zikionesha wahadzabe wakipewa vinywaji vikali na watalii na wengine wakienda mbali na kuanza kuwachunguza miili yao. Mfano bora, ni yule bwana mdogo Dudukee kwa hakika huyu bwana ameshachizika kabsa na utamaduni wa dunia ya huku nje.
Wahadzabe hawahitaji kufanywa kama majaribio ya maendeleo wao sio specimens. Wanahitaji kuheshimiwa na kuheshimu maisha yao. Tunapaswa kujifunza kutoka kwao jinsi ya kuishi kwa uhusiano wa karibu na mazingira, badala ya kuwalazimisha kuiga mifumo ambayo haikuiendana na maisha yao. Dunia inapaswa kuona thamani ya utamaduni wao na kuhakikisha kuwa unalindwa kama sehemu ya urithi wa mwanadamu.
View attachment 3299368
Kuwaheshimu Wahadzabe ni kuacha kuwalazimisha kubadilika. Tuwaache waamue kwa hiari yao kama wanataka kubadilika, na iwapo watahitaji msaada, basi uwe ni wa heshima, unaoelewa na kuthamini maisha yao ya asili pasipo kuwaharibia mtindo wao wa maisha.
View attachment 3299372
Kwa namna watu wanavyoendelea kuwavuruga Dudukee na wenzake kwa hakika 2035, Wahadzabe watakuwa hawapo tena. Tuwaheshimu. Tuwalinde. Tuwaache waishi kama Wahadzabe.
Sasahivi DUDUKWE tutaanza kukutana nae kariakoo.Kweli wawaache, wasije kuwaharibu kama walivotuharibia wamasai wetu....
Leo wamasai wamekua wamachinga wanauza nail cutter mjini na kudanga ufukweni
Wasukuma wanaitwa washamba kwakuwa wana mix tamaduni, wanachukua tamaduni zao wanamix na za western, DUDUKWE yeye anakomaa na zake tu.Wakiiishi hivyo Wahadzabe tunawasifia kuwa huo ni utamaduni wao, ila Wasukuma wakiishi kivyao vyao wanaitwa washamba. Double standard Boody fucken kabisa!
oja na mimi niwapelekee CONDOM!!Imekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya utajiri mkubwa sana wa lugha zaidi ya 1000 zinazopatikana ndani ya bara letu la Afrika.
Lakini katika video hizi zipo video ambazo zinaonesha namna watu kadhaa wakiwapatia Wahadzabe vitu ambavyo kwao ni vigeni kabsa. Vitu kama Pombe kali, Sigara pamoja na Vyakula vilivyosindikwa kama Burger, na vingine.
Hii imetokana na mwingiliano mkubwa kati ya Wahadzabe na watu kutoka nje ya jamii yao. Wengi wakiwa ni watalii, watafiti na hata mashirika yasiyo ya kiserikali wamekuwa wakiwafikia kwa madai ya kuwasaidia.
Watu hawa huwapelekea dawa za kisasa, vyakula vilivyotengenezwa viwandani (vilivyosindikwa) pombe, na hata kuwafundisha kuhusu “maisha ya kisasa.” Kwa mtazamo wa haraka, inaweza kuonekana kama msaada mzuri, lakini kwa undani, huu ni mwanzo wa kuangamia kwa utamaduni wa Wahadzabe.
Kwa kuingiza vitu hivi vya kigeni katika maisha ya Wahadzabe, tunaharibu mfumo wao wa maisha wa asili kabsa, tunapunguza thamani ya maarifa yao ya jadi, na kuwafanya waone kana kwamba maisha yao si bora. Pombe na vyakula vya kisasa vimeanza kuleta madhara ya kiafya na kijamii, huku watoto wa Kihadzabe wakianza kupoteza mawasiliano ya moja kwa moja na mila na lugha yao.
Zipo video zikionesha wahadzabe wakipewa vinywaji vikali na watalii na wengine wakienda mbali na kuanza kuwachunguza miili yao. Mfano bora, ni yule bwana mdogo Dudukee kwa hakika huyu bwana ameshachizika kabsa na utamaduni wa dunia ya huku nje.
Wahadzabe hawahitaji kufanywa kama majaribio ya maendeleo wao sio specimens. Wanahitaji kuheshimiwa na kuheshimu maisha yao. Tunapaswa kujifunza kutoka kwao jinsi ya kuishi kwa uhusiano wa karibu na mazingira, badala ya kuwalazimisha kuiga mifumo ambayo haikuiendana na maisha yao. Dunia inapaswa kuona thamani ya utamaduni wao na kuhakikisha kuwa unalindwa kama sehemu ya urithi wa mwanadamu.
View attachment 3299368
Kuwaheshimu Wahadzabe ni kuacha kuwalazimisha kubadilika. Tuwaache waamue kwa hiari yao kama wanataka kubadilika, na iwapo watahitaji msaada, basi uwe ni wa heshima, unaoelewa na kuthamini maisha yao ya asili pasipo kuwaharibia mtindo wao wa maisha.
View attachment 3299372
Kwa namna watu wanavyoendelea kuwavuruga Dudukee na wenzake kwa hakika 2035, Wahadzabe watakuwa hawapo tena. Tuwaheshimu. Tuwalinde. Tuwaache waishi kama Wahadzabe.
Kwani kuna mitaa kule?Mkuu ,umeongea sahihi
Kwamfano ,dudukwe ameisha kabisa kabisa
yule iposiku watamkuta amelewa nyakali mtaani
ndio ,Kuna muda hua wanatoka wale(Kuna mahusiano tayari ya kijamii ,na wanaipenda sana Simba SC(kwenyempira) ,kwamziki wanampenda sana diamond........Kwani kuna mitaa kule?
Utamaduni gani huo wa kuvaa ngozi na kula mataka taka, hao watu wanahitaji kusaidiwa kujitambua, wanahitaji kuelimishwa watolewe maporini huko waletwe mijini au vijijini kuliko na huduma za kibinadamu, waelimishwe waache kuishi kama wanyama, dunia imeshaondoka huko, wahazabe na wamasai ni aibu kwa taifa.Watu hawa huwapelekea dawa za kisasa, vyakula vilivyotengenezwa viwandani (vilivyosindikwa) pombe, na hata kuwafundisha kuhusu “maisha ya kisasa.” Kwa mtazamo wa haraka, inaweza kuonekana kama msaada mzuri, lakini kwa undani, huu ni mwanzo wa kuangamia kwa utamaduni wa Wahadzabe.
Kwanini unadhani Sentinel Island mpaka leo hajaenda kuwapa ustaarabu? Kwanini watu hawafiki kwejye fukwe za Sentinel Island?Utamaduni gani huo wa kuvaa ngozi na kula mataka taka, hao watu wanahitaji kusaidiwa kujitambua, wanahitaji kuelimishwa watolewe maporini huko waletwe mijini au vijijini kuliko na huduma za kibinadamu, waelimishwe waache kuishi kama wanyama, dunia imeshaondoka huko, wahazabe na wamasai ni aibu kwa taifa.
sio kwamba hawana akili ,inawezekana wamemteua kuwa testa ili waone itawafaa kufungua groceryHalafu Dudukwe ndo wamemfanya specimen kila kitu wanampa yeye 😃
Watu kama ww mtoa maada wana mchango mdogo sana kwene hii taifaImekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya utajiri mkubwa sana wa lugha zaidi ya 1000 zinazopatikana ndani ya bara letu la Afrika.