Tuwaache Wahadzabe Waishi Maisha Yao: Heshima kwa Utamaduni wa Asili

Kwahiyo na Wamasai kuishi kwenye tamaduni zao ni ushamba?!
Hapo sasa! Ila mimi naamini huo siyo ushamba, bali ni utamaduni wao. Wasukuma hivyo hivyo, waheshimiwe kwa lifestyle yao;kula sana, kufanya kazi sana na kupenda kuongea kilugha chao hata kama wako Paris.
 
Dudukeee n star wao mzee...
 
Wakiiishi hivyo Wahadzabe tunawasifia kuwa huo ni utamaduni wao, ila Wasukuma wakiishi kivyao vyao wanaitwa washamba. Double standard Boody fucken kabisa!
Wasukuma wanaitwa washamba kwakuwa wana mix tamaduni, wanachukua tamaduni zao wanamix na za western, DUDUKWE yeye anakomaa na zake tu.
 
Ng
oja na mimi niwapelekee CONDOM!!
 
Mkuu ,umeongea sahihi

Kwamfano ,dudukwe ameisha kabisa kabisa

yule iposiku watamkuta amelewa nyakali mtaani
 
Kwani kuna mitaa kule?
ndio ,Kuna muda hua wanatoka wale(Kuna mahusiano tayari ya kijamii ,na wanaipenda sana Simba SC(kwenyempira) ,kwamziki wanampenda sana diamond........

Wameshaanza hata kusaidiwa wakifiwa ,zamani walikuwa wanahama eneo na kuacha mwili kuliwa na wanyama kama fisi(Dr wanyikani) siku wakifiwa wezao wanaenda kwenye miji iliyokaribu na wao kutoa taarifa
 
Hofu yangu na mm ni kuwa hizo pombe Kali za kisasa wanazowapa zikiwazidi ubongoni hawatatembezea mishale hovyo?
 
Utamaduni gani huo wa kuvaa ngozi na kula mataka taka, hao watu wanahitaji kusaidiwa kujitambua, wanahitaji kuelimishwa watolewe maporini huko waletwe mijini au vijijini kuliko na huduma za kibinadamu, waelimishwe waache kuishi kama wanyama, dunia imeshaondoka huko, wahazabe na wamasai ni aibu kwa taifa.
 
Hofu yangu na mm ni kuwa hizo pombe Kali za kisasa wanazowapa zikiwazidi ubongoni hawatatembezea mishale hovyo?
Halafu Dudukwe ndo wamemfanya specimen kila kitu wanampa yeye 😃
 
Kwanini unadhani Sentinel Island mpaka leo hajaenda kuwapa ustaarabu? Kwanini watu hawafiki kwejye fukwe za Sentinel Island?
 
Watu kama ww mtoa maada wana mchango mdogo sana kwene hii taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…