Huo ndio uzuzu wenyewe, yaani mkeo kanya sebuleni na wewe unakwenda kunya jikoni ili mfanane. Context ya uholanzi na tz ni tofauti, na background zetu ni tofauti kabisa. Huku kwetu kuna makabila mpaka leo watoto wao wa kike hawana haki ya kuridhi ardhi kwa wazazi wao lakini makabila hayo yako mbele kudai haki kutoka Ikulu. Yako makabila ambayo wanapiga wake zao ovyo na kukatana mapanga wakigombana lakini nao wanadai serikali haitendi haki. Huko Uholanzi hakuna mwandamaji anachoma reli, barabara, TRA yao, ATM wala sheli za watu.