Tuwaadhibu walioharibu miundombinu yetu

Barabara za lami zilizojengwa na wakandarasi wazawa huo moto wa matairi kidogo tu barabarani zimekuwa mahandaki seheme hizo!!πŸ˜€

Wazawa bado sana na sijajua viraka wanasubiri nini kuweka na kodi tunalipa miezi miwili sasa baada ya sekeseke!!
Inalipa mishahara ya watumishi na posho za kuzima mapinduzi. Bado kuna makandarasi wanaosubiri kulipwa. bado wananchi wanahitaji huduma za ulinzi, matibabu, elimu, maji, umeme, nk. Chadema walitukosea sana watanzania, wameturudisha nyuma kama taifa.
 
Huo ndio uzuzu wenyewe, yaani mkeo kanya sebuleni na wewe unakwenda kunya jikoni ili mfanane. Context ya uholanzi na tz ni tofauti, na background zetu ni tofauti kabisa. Huku kwetu kuna makabila mpaka leo watoto wao wa kike hawana haki ya kuridhi ardhi kwa wazazi wao lakini makabila hayo yako mbele kudai haki kutoka Ikulu. Yako makabila ambayo wanapiga wake zao ovyo na kukatana mapanga wakigombana lakini nao wanadai serikali haitendi haki. Huko Uholanzi hakuna mwandamaji anachoma reli, barabara, TRA yao, ATM wala sheli za watu.
 
Maji ya kunywa dar tu yanawashinda mna miundombinu Gani nyie
Walikufa wangapi???
 
Sijui nilipitiwaje ku-block idiot kama wewe. Ngoja nikushughulikie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…