Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

emmyta unanitisha sasa maana kila kitu wewe unanitoaga tu wasiwasi bhn siku nyingine uwe unabisha kidogo.... hahah
 
hiki chama cha wachangiaji thread au wazee wa ku quote inabidi kitambulike katika katiba ya jf

maana pasipo sisi wachangia thread huwa hizi thread zenu zinakufa kifo cha mende

sisi ndio huwa tunazipaka rangi kwa kutoa michango mizuri inayozifanya ziwe zinamvuto na kuvuta watu wengi waje kuchangia mawazo yao humu

kama kuna dada mmoja yani akishaweka mawazo yake kwenye thread yako basi ujue imeshabarikiwa na itajavuta watu mbalimbali kuja kuchangia

big up popote ulipo kapeace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…