Mi ni mmoja wa watu ninayetamani kuona nyuzi zako, maana madini uliyonayo unayabania sana kwenye comments!Mmh. Kapeace umeamua kunifukua leo. Hahahaaa.
Huwa sina mzuka kabisa wa kuanzisha uzi halafu sijajua ni kwa nini aisee. Likes na ma msg niliyonayo yote ni ya kwenye nyuzi za watu lol.
Watanisamehe tu kama kuna watu nawachukiza.
Umeonaa eeeeBado wanajifunza ili siku wakipost vije vitu vya kueleweka.
Usijali Mkuu. Nadhani nitakuja fanya hivyo huko mbeleni ila kwa sasa napenda nijifunze zaidi kupitia wengine.Mi ni mmoja wa watu ninayetamani kuona nyuzi zako, maana madini uliyonayo unayabania sana kwenye comments!
Ulivyosema eti "mie mvivu sana kuandika" lolkwa nin dada
Fanya hivyo Mkuu, usitubanie madini hayoo!Usijali Mkuu. Nadhani nitakuja fanya hivyo huko mbeleni ila kwa sasa napenda nijifunze zaidi kupitia wengine.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kweli dadaUlivyosema eti "mie mvivu sana kuandika" lol
Hahahaaa. Haya bana Mkuu. Usijali.Fanya hivyo Mkuu, usitubanie madini hayoo!
HAHAAAAAWakuu.
Kama heading hapo juu inavyojieleza.
Kuna memba wengi sijawahi kuona wameanzisha uzi humu zaidi ya kuchangia tuuuu.
Wengine wanachangia na kutoa ushauri mzuri ila wengine wachafuzi wa lugha na kashfa kibao mixing na wivu.
Tumepata wasaa hapa tuwaanike ili na wao washushe vitu vyao humu.
Naamini tuna mengi ya kujifunza kwao hivyo basi wasijifiche nyuma ya keyboard tu na kuwa wachangiaji.
Kuna mmoja ni msela wangu huwa anaquote vizuri sana na ndio huwa wakwanza!si mwingine joseeeverestt.
Tunasubiri uanzishe uzi wako hata siku moja na si tuwe wa kwanza kuquote.
Na wengineo mtawajazia
Bora wewemvivu san kuandika
Huyu Dada yangu ndio mvivu zaidi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata wewe una uzi mmojaJoseverest anazo mada lkn sio nyingi nilivyomuelewa ni wale wasiopenda kuandika mada mara kwa mara mf mwingine ni emmyta nae ana uzi mmoja tu hiyo ni sawa na hakuna tu lkn kwa kuchangia sasa uzi gani emmyta utamkosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoj nianze kumpa mazoeziBora weweHuyu Dada yangu ndio mvivu zaidi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoj nianze kumpa mazoezi
Nimo kwny hili kundi kinachofurahisha unachangia na kumiliki mada kuzidi muanzishaji